Recent content by pareto 8020

  1. P

    Bunge lijalo ni full skendo za ngono...

    Kwa mtazamo wangu, dhana ya kuangalia viti maalum with cotempt ni potofu. Sababu za kuwepo viti hivyo ni kutoa fursa kwa akina mama kushiriki katika chombo cha kufanya maamuzi (Bunge). Kwa mfumo uliopo sasa ni vigumu kwa akina Mama kuweza kupenya kwa kiwango cha asilimia 50% kinacholengwa...
  2. P

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    Bw Ngoshwe, Umenena vema, katika mambo mawili amb ayo (nime ya hightlight katika RED). Ningependa kutoa mwanga katika maeneo hayo kwa faida ya wenye nia ya kujua ukweli juu ya mchakato na mtazamo juu ya mgombea anayezungumziwa.... Wawakilishi wa wafanyakazi, wanatakiwa kuwa wanachama wa TRADE...
  3. P

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    If you think you a million times better than she is....then wewe ungetufaa BUNGENI...ninashauri Ukagombee ili ulisaidie taifa. Angalizo, ukienda huko, usiendeshe mambo kiubabaishaji kama hivi unavyofanya uchambuzi pasipo kuwa na data kamili na kutegemea circumstantial evidence .... tabia za...
  4. P

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    Kaka Hebu nenda Wizara ya sheria tafuta miswaada ya sheria aliyoandika huyo dada ili utoe hukumu yako juu ya writting skills zake...au ukitaka nenda kwenye firm yao pale umpatie kazi ashindwe ndio ujithibitishie kama hana uwezo...la sivyo kwa sasa utaishia ku speculate tu...
  5. P

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    Nakubaliana na hoja za umuhimu wa watu wetu kujua kuandika...sio kwa wanasheria tu bali kila fani. Moja ya sifa zake binti huyu ni kuandika ndio maana kabla hajatoka Sheria idara ya mwisho aliyokuwa akiifanyia kazi ni kwa Chief Parliamentary Draftsman..sifa ya kuwa huko ni UANDISHI wa Lugha zote...
  6. P

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    Ninakubaliana nawe HEKIMA UFUNUO...ni muhimu kufanya uchambuzi ambao upo supported na data badala ya hoja za kusadikika. Vijana wasomi kama hawa waliojitokeza badala ya kuwakatisha tamaa tuwape moyo... Kwa taarifa nilizonazo binti huyu sio mgeni kihivyo kwenye siasa ndani ya CCM, labda tu yeye...
  7. P

    GE2010 Makamba atinga jimboni Bumbuli leo na ufanya vikao vya siri.....

    How outhentic is this information? Mbona the whole of last week, huyo Mama alikuwa Johanesburg...imewezekanaje akawepo Jbg na Bumbulu at the same time? Sina uhakika na hiyo mikutano mingine unayoongelea, lakini kwa huo wa Mama ni UONGO..nathibitisha hilo... Again, inanifanya nitilie mashaka na...
  8. P

    Walakini katika Mchakato wa Kutoa NYOTA katika Hoteli za Tanzania

    Jana baadhi ya hoteli za Jijini Dar-es-Salaam zimepewa nyota ili kuwezesha kutambua hadhi/ubora wa hoteli kama ilivyozoeleka katika hotel industry duniani. Pamoja na kupongeza hatua hii muhimu...mchakato huo kidogo unatia mashaka kama ulikiwa objective...au ndio mambo ya kujuana au rushwa...
  9. P

    Hii kauli ya EWURA ni sahihi au ni longolongo zao tu

    Finally, EWURA wamezinduka na kutangaza vita kali dhidi ya vituo vinavyofanya uhuni wa kuchanganya mafuta...... It is too bad kwamba kuzinduka kwao ni mpaka magari ya STATE yaathirike....isingekuwa hivyo, it would have been business as usual..... tatizo la mafuta feki ni la muda...
  10. P

    Bilioni 30.9 ku upgrade ukumbi wa Bunge

    You are right...baada ya kuisoma vizuri news hiyo, haisemi ukarabati mpya utagharimu Bil 30.9.... japo haisemi pia ni kiasi gani kitatumika kugharamia. Hata hivyo, bado umuhimu wa kutathmini in the face of many challenges zilizopo, kwenda HIGH-TECH ni priority kwa sasa....whatever the cost..
  11. P

    Bilioni 30.9 ku upgrade ukumbi wa Bunge

    Is this a priority? Katika kipindi hiki kigumu cha uchumi, nadhani pamoja na umuhimu wa kuwa na bunge la kisasa, isingekuwa busara kufanya hiyo upgrade inayotazamiwa. Kwa mtazamo wangu, at this point in time, wangefanya upanuzi wa kawaida wa kuwezesha kuongeza viti kulingana na idadi mpya ya...
  12. P

    Jitihada za JK ni "SIFULI"

    Jamani mbona orodha zinazotolewa hapa ni negatives tu? Mbona yapo mengi mazuri amefanikisha hayatajwi.. Kabla sijaorodhesha mazuri yaliyo kwenye public domain.. Lazima tukubali fact kwamba JK ameingia madarakani katika kipindi tofauti ambacho, uchumi wa dunia umeyumba na hivyo, fursa nyingi...
  13. P

    Uongozi na michezo!!

    Nimepata kifungu cha katiba ya CAF kinachotoa ufafanuzi wa mashindano ya CHAN Article 2 The African Nations Championship is open to the national representative teams of the associations affiliated to CAF, composed exclusively of national players playing in the national championship, each...
  14. P

    Uongozi na michezo!!

    Kujibia swali lako la mwisho....mechi ya Taifa Stars na Rwanda ilikuwa ni kwa wachezaji wa ndani (yaani wasiocheza soka nje ya nchi zao or rather nje ya bara la Afrika).... Hivyo wachezaji wa kulipwa hawa qualify kushiriki.
  15. P

    Kiongozi gani amewahi kutembelea maktaba na je Serikali inazijali?

    Wazo lako la kuwa na maktaba katika kila halmashauri ni zuri sana.... It is much easier kwa halmashauri kujenga na kuendesha maktaba kwasababu wao wana vyanzo vya kupata resources za kuendesha maktaba hizo. Mimi nadhani kinachotakiwa ni kutafuta njia ya kufikisha wazo hili kunakohusika ili...
Back
Top Bottom