Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

Status
Not open for further replies.
mod ukitoa michango ya watu jaribu kuwaeleza makosa yao itasadia sana siku nyingine tujirekebishe makosa yetu.....sijajua sababu ya kutoa michango yetu katika hii thread kwani hatukumtukana mtu yoyote....au kueleza ukweli juu ya uozo wa baadhi ya wanaume wanopenda kusema watu wakiteuliwa wanaliwa na wazee ni kosa?
umenishangaza sana. ila una uvumilivu wa thread za kuwatukana wanawake ref thread zilizomhusu sofia simba...
hata kama wewe ni mwanaume ninaamini umezaliwa na mwanamke na kulelewa na mwanamke hata kama leo hii kwa baadhi yenu WANAWAKE wanaonekana ni wapuuzi .....
mix with yours
 
  • Thanks
Reactions: Art
Hivi Angela ni RAI wa Tanzania?

Baba ni mtu wa kutoka visiwa vya Ngazija!

Mama Yake Esther Mkwizu (??? - Connections zake na "SYSTEM" ya "FISADIS" ni nyingi mno na ndiye mentor wa Angela)

Ni kweli ameolewa na Mtoto wa Marehemu Prof Kairuki (Mbelwa : PA wa Membe??)

Kwa AG alishatoka (aliomba likizo ya two years without pay???)

Yuko Vodacom (Legal??? RA??? )

We should expect very little from Angela - Anafahamu kidogo sana kuhusu Watanzania na Tanzania!
 
Ni dhairi tuendako ni kubaya zaidi kuliko tutokako..naunga dots...:

Esther Mkwizu

Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF) unaongozwa na Mama Anna Mkapa mke wa Mhe. Rais Mstaafu B.W. Mkapa (MWENYEKITI WA MFUKO).

Mfuko wa Fursa sawa kwa wote unadhaminiwa na Bodi ya wadhamini ambayo mwenyekiti wake ni ANNA.

Wajumbe wa Bodi ya Wadhanini wa MFUKO NI:
1. Esther Mkwizu,
2. Mwantum Malale,
3. Nafisa Adamjee,
4. Edine Mangesho,
5. Yasmine Kassum,
6. Rahma Khamis
7. Mariam Mwafisi; na
8. Rose Mang'enya.
 
Teh, naona aibu mie Mwanasheria niliyehitimu Sheria Chuo kikuu cha watoto wa wakulima Mlimani, na ningali najua kuandika na kuzungumza kiingereza fasaha kuliko huyu binti mkwasi. Pia usafi wangu na kutokuwa na tamaa kunanifanya kuuficha zaidi uso wangu!!

Ee Mola, nisitiri.:confused2:
 
Mna uhakika gani kuwa hayo maneno yaliyochapishwa mtandaoni yaliandikwa na mwanasheria huyu?
 
Kabla hatujaanza kumponda dada wa watu ni vizuri kila mmoja akadeclare interest. Huyu ni mtu mpya mimi sijawahi kumsikia popote hata kwenye magazeti ya udaku, la kunishangaza ni mashambulizi nayoyaona hapa. Lengo lake ni nini? Hakuna hata mmoja alietoa ushahidi wa tuhuma zake. Nimekuwa nasema na sasa narudia tena HEKIMA YANGU INANIAMBIA, SI SAWA KUMHUKUMU MWENZIO BILA USHAHIDI WA KUTOSHA.

Tukimpa moyo na support anaweza kufanya kazi zake kwa ufanisi zaidi.

Si kweli kuwa kila mtu anaweza kufika kwenye nafasi ya uongozi wa nchi, na haiwezekani kwa mtoto ambaye hana background ya maana ndani ya CCm akapita kwa kura nyingi kama yeye. HUU NI UKWELI NA UTABAKI UKWELI.

Vyama ambavyo vinaroom za namna hiyo ni vya upinzani of which baada ya kukaa madarakani kwa muda mfumo utakuwa uleule.

Respect.
 
Ninakubaliana nawe HEKIMA UFUNUO...ni muhimu kufanya uchambuzi ambao upo supported na data badala ya hoja za kusadikika. Vijana wasomi kama hawa waliojitokeza badala ya kuwakatisha tamaa tuwape moyo...

Kwa taarifa nilizonazo binti huyu sio mgeni kihivyo kwenye siasa ndani ya CCM, labda tu yeye strategy zake za siasa haziku involve media kiasi cha kuwa maarufu kama akina Shyrose na wengineo... Katika UWT yeye ni Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa kutokea Mkoa wa Dar-es-Salaam... Pia ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Dar-es-Salaam... Amejikita sana kwenye shughuli za kijamii za kutoa msaada wa kisheria kwa akina Mama hasa wajane na pia amekuwa active kwenye kuwalink akina mama na programu mbalimbali za kuwezesha kuichumi..... IN other words, yeye yupo directly linked na constituency yake,,,no wonder wanamfahamu na kumkubali kiasi cha kumchagua kwa kura nyingi hivyo..... Kipindi alichokuwa pale wizara ya sheria amekuwa very active kwenye kupigania maslahi ya wafanyakazi..ndio maana walimchagua kuwa Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara na pia kwenye TUGHE Sheria... Katika kipindi alichokuwa MSaidizi wa Mama Nagu, alipigania sana uanzishwaji wa idara ya Legal Aid wizarani, jambo ambalo limefanikiwa leo hiii, idara hiyo imeanzishwa na kutoa msaada kwa watu wengi wenye kuhitaji.... KWA HAYA TU...ni matumani yangu, endapo atakuwa Mbunge....atakuwa one of the serious MPs tunaowahitaji..
 
Ni vigumu sana kuingia kwenye mambo ya siasa Tanzania bila support ya namna fulani.Iwe ni kupitia wazazi, ndugu, jamaa au marafiki, ndivyo hali ilivyo.Huyu dada apewe nafasi kuonyesha atakachowezesha kufanya badala ya kumchambua kama karanga hapa. ( Najua kuna watu wako stand-by kunijibu kwa mashambulizi yasiyo na lazima). Tujiulize swali moja tu: Hivi tukimchambua kuwa ati mama yake anahusiana na wanasiasa wa Tz, Mumewe ni mwanaye marehemu Dr Kairuki, mara ohh ni mwanasheria na mfanyabishara, yote haya yatamzuia kuingia mjengoni? Jibu is so obvious- a resounding NO! Why waste energy and time gossiping about her ( yes it is gossip coz its small talk which is unproductive!).

Tumeshamjua "mbunge mtarajiwa" viti maalum vya wanawake CCM kuwa professionaly ni mwanasheria, pia ni mjasiriamali, ni mke wa mtu, she is young- inatosha.
 
Ninakubaliana nawe HEKIMA UFUNUO...ni muhimu kufanya uchambuzi ambao upo supported na data badala ya hoja za kusadikika. Vijana wasomi kama hawa waliojitokeza badala ya kuwakatisha tamaa tuwape moyo...

Kwa taarifa nilizonazo binti huyu sio mgeni kihivyo kwenye siasa ndani ya CCM, labda tu yeye strategy zake za siasa haziku involve media kiasi cha kuwa maarufu kama akina Shyrose na wengineo... Katika UWT yeye ni Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa kutokea Mkoa wa Dar-es-Salaam... Pia ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Dar-es-Salaam... Amejikita sana kwenye shughuli za kijamii za kutoa msaada wa kisheria kwa akina Mama hasa wajane na pia amekuwa active kwenye kuwalink akina mama na programu mbalimbali za kuwezesha kuichumi..... IN other words, yeye yupo directly linked na constituency yake,,,no wonder wanamfahamu na kumkubali kiasi cha kumchagua kwa kura nyingi hivyo..... Kipindi alichokuwa pale wizara ya sheria amekuwa very active kwenye kupigania maslahi ya wafanyakazi..ndio maana walimchagua kuwa Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara na pia kwenye TUGHE Sheria... Katika kipindi alichokuwa MSaidizi wa Mama Nagu, alipigania sana uanzishwaji wa idara ya Legal Aid wizarani, jambo ambalo limefanikiwa leo hiii, idara hiyo imeanzishwa na kutoa msaada kwa watu wengi wenye kuhitaji.... KWA HAYA TU...ni matumani yangu, endapo atakuwa Mbunge....atakuwa one of the serious MPs tunaowahitaji..

Asante kwa taarifa dear....maana watu wanajua kuponda sana wenzao. binafsi simjui so niliamua kutochangia lolote kumhusu....asante kwa kutujuza haya hasa km ni y KWELI BASI ANAELEKEA KUFAA kuliko wengi wao
mix with yours
 
Ajifunze kuandika basi, sio anajiaibisha kwa maswala madogo yanayoonyesha uvivu na uzembe, wengine watamuona a semi literate nincompoop without a econd glance.

Web image ni kitu muhimu sana, she should know that.

Kama ma lawyer wasomi wenyewe ndio hawa, we really need that Cultural Adjustment Programme.
 
A major cultural overhaul...that's what we need....an adjustment may not be enough!!!

Na kama ma lawyer wenyewe ndio hawa basi sina haja ya kutafuta lawyer nikipatwa na matatizo. Nitajitetea mwenyewe vizuri tu kuliko hawa wasiojua hata kuandika.

Halafu sielewi walifaulu vipi hata shuleni. Kuna Prof. wangu mmoja alikuwa persnickety kwelikweli. Ana maindi kila kitu grammar, usage, mechanics, and spelling. Sasa sijui hawa walifundishwa na walimu gani tu....
 
Nakubaliana na hoja za umuhimu wa watu wetu kujua kuandika...sio kwa wanasheria tu bali kila fani. Moja ya sifa zake binti huyu ni kuandika ndio maana kabla hajatoka Sheria idara ya mwisho aliyokuwa akiifanyia kazi ni kwa Chief Parliamentary Draftsman..sifa ya kuwa huko ni UANDISHI wa Lugha zote Kiswahili na Kiingereza...na huyu binti ana skills za ziada za uandishi kwa KIFARANSA...(amesomea Diploma ya Lugha ya Kifaransa, University of Nantes)..

Nisijue tu yaliyomo kwenye mtandao ambayo yanakuwa referred kaandika mwenyewe au mtu wake anayesimamia biashara zake
 
Whatever....but all I know mediocrity is the order of the day in Tz.
 
Namfahamu sana Angela Kairuki, ni mwanasiasa mzuri sana na ataleta challenge kubwa Bungeni naamini..
Kinachoniogofya ni tetesi ninazozisikia kwamba amekuwa Supported na Rostam kama alivyomsaport Ngeleja.
Eti alimtoa Angela kwa AG akampeleka Vodacom then akampenyeza kwa viti maalum....
Angela nakuaminia wewe sio mbabaishaji na we women tunasubiri mambo makubwa kutoka kwako...
Believe me ur better than Rostam Aziz u dont need backup from him lol
then tunakutegemia kuwa Rais ajae, bila huyo fisadi

Simple Logic here: RA= fisadi papa. RA= one of the masterminds kuhahakisha JK is the prezidaa 2005. so RA=JK.
JK ndo alitamteua WN kuwa waziri wa nishati na madini. Ngereja ndo alimpenyeza Angellah to VODACOM. On the other end RA= some shares with VODACOM. Sasa unategemea angellah atakuwa mpigananji!!!!

Wale wale tu... hakuna jipya hapa.
 
A major cultural overhaul...that's what we need....an adjustment may not be enough!!!

Na kama ma lawyer wenyewe ndio hawa basi sina haja ya kutafuta lawyer nikipatwa na matatizo. Nitajitetea mwenyewe vizuri tu kuliko hawa wasiojua hata kuandika.

Halafu sielewi walifaulu vipi hata shuleni. Kuna Prof. wangu mmoja alikuwa persnickety kwelikweli. Ana maindi kila kitu grammar, usage, mechanics, and spelling. Sasa sijui hawa walifundishwa na walimu gani tu....

NN, that word underlined and in bold, how do you pronounce it nimeshindwa kabisaaaaaaaa
 
Connecting the dot connecting the dot, the doooooooooooooooooooooooot!! WN naye si alikuwa legal manager pale voda na mkuu RA akampa support materially and morally!!! Ili tu akapatiwe Wizara nyeti amfaidishe? Unajua RA alipewa ofa ya kuweka vijana wake kwenye wizara nyeti maana mchango wake kwa 2005 uliruhusu? Nimechoka!! Ngoja niwahi daku ops futari.
 
WOS SIO kama watu wanaongea umbeya, nadhani pamoja na mapungufu ya hiyo Lugha lakini kikubwa, watu wanachokiongelea kuwa huyo mtu anaingia kwenye Bunge na Pia Uwaziri (Wizara ya Mama Six) kwa kupitia migongo ya watu, kuanzia kwa mama yake Ester Mkwizu na Rostam Aziz pamoja na Ngereja, tunasema ni kupendelewa mbona wakina Nape wanaangaika wenyewe kwa nguvu zao?
HApa hakuna majungu bali tuaangalia jinsi kikundi cha watu kinavyokuwa na uwezo wa kustructure uongozi wa nchi hii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom