Recent content by paraphysychology

  1. paraphysychology

    JamiiForums Tanzania Pombe ya mnazi (palm wine) ingeweza kututoa kiuchumi

    Kapicha mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. paraphysychology

    JamiiForums Tanzania Azam nchi za jirani na mikoa ya mipakani local channels zote za Tanzania wanapata. Kwanini sisi?

    Kwenye malipo unalipa kwa pesa ya Tanzania au nchi jirani? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. paraphysychology

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli aagiza kuchunguzwa kwa Airtel kama ni mali ya TTCL! Wapotoshaji wa Takwimu wachukuliwe hatua kali

    Wise words[emoji122] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. paraphysychology

    JamiiForums Tanzania Nilichokikuta ukweni imebidi nimsamehe mume wangu

    Majukumu sio dhambi mwambie afanye yale yanayo wezekana apo mtaweza kusave kiasi kitakacho wawezesha kupiga hatua kimaendeleo
  5. paraphysychology

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei halisi ya mtungi mdogo wa gesi

    Orxy changamoto yake ni ipi tujuzane
  6. paraphysychology

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo same nije rukwa idara secondary
  7. paraphysychology

    JamiiForums Tanzania Malipo ya pensheni mwezi Agosti 2018

    Pesa kuingia sio lazima utumiwe SMS wakatimwingine muamala unaingia kimyakimya
  8. paraphysychology

    JamiiForums Tanzania Wizi wa pesa kupitia namba 0746008589

    Ok kumbe tupo wengi tulopatwa na wasaka grisi kwa nguvu mimi nusula nijichanganye ni mlegezee Vyuma uzuri alivyo boya alijichanganya kwa kusema laini inashida upande wa M-PESA nikamwambia peleka gelegi
  9. paraphysychology

    JamiiForums Tanzania Mlioishi India naombeni ushauri; Nitakaa India kwa miezi 8 na bosi wangu

    Nimeuliza kwa nia njema wapo watu ni wakalimu wakiwa kwetu ila wakiludi kwao ni wabaguzi wanaweza kutoa uhai niliingiwa hofu ulipo taja mshahara kuendelea ku flow ni kahisi itakua janja ya kukuaminisha ili uingi king then wakudhuru kiongozi , angali Moyowako una semaje ndio uende
  10. paraphysychology

    JamiiForums Tanzania Mlioishi India naombeni ushauri; Nitakaa India kwa miezi 8 na bosi wangu

    Bosi wako ni muhindi au bongo man?
  11. paraphysychology

    JamiiForums Tanzania Tupimane utaalamu wa kijasusi na upelelezi

    Kauwawa ukutani damu zimepakwa
  12. paraphysychology

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanaume anataka kunioa lakini ana maumbile madogo

    Mpaka ionekane mtu ana maumbile madogo lazima awepo mwenye maumbile makubwa swali maumbile makubwa umeyapata wapi?
  13. paraphysychology

    JamiiForums Tanzania Natangaza kiama kwa huyu daktari uchwara

    Come down think beyond hasira hazijengi nikweli unaumia jaribu kufunika kombe mwanaharamu apite ,katika maisha ukikutana na changamoto ambayo haitoi uhai let it go my brother
  14. paraphysychology

    JamiiForums Tanzania Aina 16 za watu duniani

    Nimeipenda
Back
Top Bottom