Aina 16 za watu duniani

blue bahari

blue bahari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Messages
444
Points
250
blue bahari

blue bahari

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2016
444 250
I love logic.
Ukiwa logician utapeta tu maisha yako yote, japokuwa wengi wako wanachukiwa.
 
Tatigha

Tatigha

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Messages
1,775
Points
2,000
Tatigha

Tatigha

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2017
1,775 2,000
Duuuuu

Mimi ni meditator bila kupepesa macho
 
MarkHilary

MarkHilary

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2015
Messages
1,429
Points
2,000
MarkHilary

MarkHilary

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2015
1,429 2,000
Mkuu napata changamoto kidogo kujicategorize kwa sababu najikuta nina tabia za zaidi ya makundi sita. Mimi hapa ntakua kundi gani? Je,mtu anaweza kuwa wa aina zaidi ya moja?
 
T

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
960
Points
1,000
T

This is...

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
960 1,000
Anaweza akawa logistician nilichokiona wanapenda sana sifa na huwa wazuri wakitumwa kuliko wao kutuma
bwana yule alistahili awe PM atumwe,hiyo angepafomu vzr sana.
 
hypothalamus

hypothalamus

Member
Joined
Feb 19, 2018
Messages
94
Points
125
hypothalamus

hypothalamus

Member
Joined Feb 19, 2018
94 125
Mkuu napata changamoto kidogo kujicategorize kwa sababu najikuta nina tabia za zaidi ya makundi sita. Mimi hapa ntakua kundi gani? Je,mtu anaweza kuwa wa aina zaidi ya moja?
Hapana haiwezekani japo kuna aina fulani zinaingiliana sana
Kitu cha kwanza muhimu kujua wewe ni extrovet au ni introvet?
 

Forum statistics

Threads 1,343,269
Members 514,998
Posts 32,778,369
Top