kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,706
- 2,858
wakuu samahani kuuliza sio ujinga hivi bei halisi ya mtungi mdogo wa gesi pamoja na jiko lake sh ngapi hapa dsm maana huku nakoishi kitunda kuna maduka yanauza 65,mengine 78 hivi bei halisi ipi maans kuna wengine waliniambia upo wa elfu 50 maana nimechoka kutumia mkaa gheto