loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,767
Mjinga mmoja kanitumia asubui hii. [emoji115]
Ata mm niliitapa wiki2 zilizopitame kila siku natumiwa msg nafasi za jeshi zimetoka
au
tuma ktk namba hii.....kuna namba ya tigo wanaituma ili niwatumie pesa
Hivi TCRA hawawezi kutatua tatizo hili?Hahaha Hili Fala Halijui Kuiba!Mpaka Mie Limenitumia!Maaaniner Zao Mitandao Inayotoa Namba Zetu Kwa matapeli
Halafu anamalizia nipo kwa wakala hapaILE ELA ITUME KWENY HI! 0764 970 796 MAANA SIM YANGU INASUMBUA SANA HAPA NILIPO FANYA HARAKA.
Nahisi wanapata sana pesa koz meseji zimeshamiri kwelikweliHalafu anamalizia nipo kwa wakala hapa
Ukiwapigia hawapokei wala kujibu message wanajua umewastukiaNahisi wanapata sana pesa koz meseji zimeshamiri kwelikweli