ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,895
Nimeshangaa sana kuna Watanzania Serikali imezuia Azam wasituonyeshe local channels huku nchi za jirani kama Uganda, Rwanda, Burundi Zambia na Malawi wanafaidi local channels zetu huku Serikali haitaki tuone.
Kwasababu hiyo hiyo mikoa mingi ya mipakani wanaunganisha ving'amuzi vya azam ila ni kwa kutumia nchi jirani. Mfano Songwe, Njombe, wanaungwa na Azam Malawi, Sumbawanga Tunduma, wanaungwa na Azam ya Zambia, vilele maeneo ya rombo na Kigoma,
Serikali msitufanyie hivo, tupeni haki yetu ya kuangalia local channels. Au tuhame nchi