Tupimane utaalamu wa kijasusi na upelelezi

Tupimane utaalamu wa kijasusi na upelelezi

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,063
Reaction score
47,051
Katika upelelezi wowote ule lazima
Uusishe, mazingira, tukio lilipotokea, na pia ulinganishe uhalisia wa mambo kama ni kweli au ni mazingira ya kutengenezwa kupoteza ushahidi

Ngoja tuone wataalam wa investigation hapa ... Eti huyu kajiua au kauawa? Chunguza kwa kina Toa sababu ya jibu lako...

Ana bastola mkononi

FB_IMG_1525598573722.jpg
 
kashikishwa pisto. huwezi kujipiga risasi alafu huo mkono uwe hapo ulipo na bado uwe umeishika hiyo pisto mkononi.
kauwawa.

nawaza kikulima zaidi
 
Alikuwa anafanya shughuli zake kaja mtu kamshuti kisha kamshikisha bastora.
Ndio maana mahala alipokuwa amekaa risasi ilipompiga kichwani ilitoa damu upande wa pili /ukutani.
Angelikuwa amejiua mwenyewe angelitumia mkono wa kushoto.
Evidence nyingine ni kiti /stuli aliyokuwa amekalia kufuata uelekeo/force ya risasi.
Hata ukiangalia miwani vizuri inaeleza uelekeo wa risasi.
 
Kauwawa.
Victim ni left handed.
Mkono ilipo bastola na mtapakao wa damu ukutani ni inconsistence.
 
Katika upelelezi wowote ule lazima
Uusishe, mazingira, tukio lilipotokea, na pia ulinganishe uhalisia wa mambo kama ni kweli au ni mazingira ya kutengenezwa kupoteza ushahidi

Ngoja tuone wataalam wa investigation hapa ... Eti huyu kajiua au kauawa? Chunguza kwa kina Toa sababu ya jibu lako...

Ana bastola mkononi

View attachment 767737
Picha imechorwa so mtu wa kuchora hawezi kujiua au kuuawa.....simple logic teh teh teh
 
kauawa then wakamshikishia silaha , kwanza kafa silaha kaishikilia pasipo hata kulegeza mikono. pili hakuna kutapatapa kwa kawaida ambako kupo kwa kifo cha kawaida, pili umbali toka damu ilipo na alipo lala ama alipokuwa amekaa ni mbali sana ambako damu haiwezi kuruka kiasi kikubwa hivyo tena iwe ka imemwagiwa hapo
 
Maelezo mazuri sana kabisa
 
Muuwaji alishoot akiwa upande wa kushoto wakati muuliwa akiwa amekaa akijisomea, anatumia mkono wa kushoto why pisto ashike kulia? Ukiangalia urefu wa damu ilpo na floor then assume muuliwaji akiwa amekaa kwenye hiyo stuli utagundua kama urefu wake vinafanana... so risasi ilipigwa toka kushoto ikatokea kulia ndio maana unaona upande wa kuliwa kichwa una bleed sana...
 
Taa ya kusomea haijachomekwa kwenye Socket afu still inawaka "something went wrong"
 
Kauwawa halafu akashikishwa pistol,haiwezekani pistol aishike na kufwatulia mkono wa kushoto na blood spatter iwe upande huohuo tena kwa mkusanyiko mkubwa hivyo.
Exactly na kitu kingine cha muhimu zaidi, inaonekana huyu kabla ya tukio alikuwa kakaa juu ya stuli, sasa haiwezekani kujiua na kaanguka toka juu ya stuli hadi chini na bastola haijatoka mkononi never, kashikishwa
 
huyo dada amejiua mwenyewe, nasema hivo kwa ushahidi huu
1. alikuwa hasomi hapo kwenye meza, kwanini? waya wa taa ya kusomea imechomolewa kwenye switch kwaiyo taa ilikuwa off
2. position yake kwenye kiti alikuwa aangalii dirishani kwa maana alikuwa asomi, yaani iyo meza na dirisha aliivigeuzia mgongo, kwaio iyo pisto alishia mkono huohuo wa kulia
3. pen na miwani hapo kwenye meza..., kama angekuwa anasoma anasoma basi angedondoka na miwani yake na mkononi angedondoka na peni yake
sijui nimeeleweka kwa maelezo haya?
 
Back
Top Bottom