Recent content by paison

  1. P

    Je umeshatoa maoni ya katiba mpya?

    Mimi bado,kila wakipita ni siku ya kazi,ila natamani.
  2. P

    Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    Naomba munisaidie, Dr Batilda Burian ameteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya TRA.Je atakuwa anawajibika vipi akiwa Kenya? au ndio atakuwa analambishwa posho zisizo na tija kuja kwenye vikao?Je hakuna watu/vijana wengine ili mgawanyo wa kazi ugawanywe sawasawa?:lol::lol::lol:
  3. P

    USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    Wakuu!faida haipo kwani hawana wa kuwawajibisha.
  4. P

    Nyumba inauzwa

    Je gari inafika mpaka mlangoni?
  5. P

    Askari Magereza Hii ni Aibu!

    Nashangaa!!
  6. P

    Sijafungwa kitambaa usoni - Spika

    Hivi huyu mama Makinda ana mume?
  7. P

    Dk. Slaa awapagawisha wananchi

    Dr.anafaa,mimi na nyumba yangu tutamchagua.
  8. P

    Hivi Matonya yuko wapi wadau?

    yupi?yule ombaomba?
  9. P

    Mzee makamba, shekifu kusimikwa ukamanda leo mkoa wa Tanga..

    hata mimi wana nchanganya!hivi ukamanda ni kwa mwanachama yoyote au kuna hatua fulani m/ccm anatakiwa kupitia? Paison
  10. P

    Natangaza rasmi dhamira ya kugombea Ubunge 2010

    JJ, kila la kheri kura yangu umekwisha pata.
  11. P

    Bwawa kubwa la kuogelea duniani

    umepakata sahemu yenye mvuto,kama mabwawa lilivyo na mvuto.
  12. P

    hivi wanalazimishwa?

    Huyo aliye shika beleshi anafanya nini?JK akiinuka gafla ajari....
  13. P

    Ofa kabambe ya Pasaka;uliwah kunyanyaswa kijinsia,???

    Pole sana mkuu,naamini Mungu kakupigania ndio maana upo hapa.zaidi sahau endelea mbele na utakuwa mwl mzuri kwa vijana wasirubuniwe.
Back
Top Bottom