hivi wanalazimishwa?

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
DSCF1437.JPG

hivi kuna anayewalazimisha hawa waheshimiwa kufanya hizi shughuli?
maana mi najua wanapofanya hivi wanafanya kuonyesha mfano na kuhamasisha lkn ni nani anayefanya kazi za shambani na kimkeka ili asichafuke!
ukimtizama anavyohema .....na hilo pozi na hicho kimkeka aah tuachieni watoto wa wakulima hizi shughuli hamziwezi nyie msitutanie!
 
Anahalalisha POSHO na perdiem yake jioni, otherwise ni ushenzi uliozidi kukejeli wananchi!
 
hizo Comment zake cheusimangala nimecheeeeeeeeeeeeeeeka
naona wanajilazimisha kufanya hivyo ili waonekane
 
kama najua anaenda kupanda miti, kwa nn anavaa suti? kwani akivaa simple itakuwaje>
 
DSCF1437.JPG

hivi kuna anayewalazimisha hawa waheshimiwa kufanya hizi shughuli?
maana mi najua wanapofanya hivi wanafanya kuonyesha mfano na kuhamasisha lkn ni nani anayefanya kazi za shambani na kimkeka ili asichafuke!
ukimtizama anavyohema .....na hilo pozi na hicho kimkeka aah tuachieni watoto wa wakulima hizi shughuli hamziwezi nyie msitutanie!

Na ndoo nyeusi ya maji pembeni si unaona imeshaletwa fasta fasta mheshimiwa akimaliza atuachie vumbi letu kabla halijampa allergi mikono yake?????
 
Hakuna lolote zaidi ya kulazimishwa na ulaji. Ishu kama hiyo utakuta imepangiwa mamilioni kadhaa,what next ni kujichanganya piga danganya toto watu wanamalizia mahekalu yao.
 
Back
Top Bottom