Duuh,hili jibu la Spaeker kwa Mh.Lema,nimelipenda sana.Sijui alitumia kanuni au ni matakwa yake binafsi kwa kutaza aliyoyatazama kama Jinsi,Uwiano wa Vyama,uwakilishi n.k?.Yaani waliomtwisha hilo zigo,wamemuonea sana maana wamempa kipindi kibaya sana,thats why alishtuka baada ya kuona takribani wabunge watano wanataka kuomba muongozo wa Speaker,akaona kiama kinakuja.Ushauri,kwa kuwa zigo alikubali kulibeba kwa 2010-2015,mimi naomba kabla hajajibu swali,kwanza atafakari kwa sekunde kadhaa impact ya jibu atakalo toa na akupunze kuropoka kama siyo kuacha.Pole yake,ameyataka mwenyewe kwa kutaka kulinda maslahi ya Wachache.