Recent content by PageNoteFound

  1. PageNoteFound

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ndugu zangu habari za mda huu, naombeni kujuzwa jambo... Kama MTU umefanya ora na mwaka unakaribia kuisha ila kwenye web na kwenye app kote imekua selected for oral wakati huo kuna post kadhaa za kada yako zina postiwa kutafuta watu wakati ww uko database hii inamaanisha washani nipiga chini au...
  2. PageNoteFound

    JamiiForums Tanzania TANZIA Lala salama Padre Felician V. M. Nkwera

    Kupitia fr nkwera mungu aliwai kuniponya ugonjwa ambao ulishindikana katka hospital. Ilo sitokuja kulisahau katika maisha yangu. Sehemu pekee ambayo nikipokea ekaristi najiona nina Amani, unapokea kwa kupiga magoti, mdomoni na uku mikono umeikunja. Fr.Nkwera kupitia ww pia mungu aliniponya...
  3. PageNoteFound

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sawa ndugu
  4. PageNoteFound

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Habari za mda huu naomba kufahamishwa/kueleweshwa. Kwa upande wa mtu anaefanya programming/software developer alafu ukaenda tahasisi kama ya maji ambayo tayari hata website yake imetengezwa na eGA, uyu programmer/developer atakua anakazi gan kwenye iyo tahasisi na kimaisha upande wa maslai kama...
  5. PageNoteFound

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuna mda unaweza ukamfaamisha mtu kwa maneno lakini kuna mda mtu inabid ajifunze mwenyewe katika mazingira asilia, ww muelekeze kwa nafasi yako ikishindikana mwache ajifunze mwenyewe kwa mazingira asilia.
  6. PageNoteFound

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Habari ndugu zangu, Naombeni mwenye maswali ya mtihani wa pract wa programming waliofanyaga TCRA iv karibuni. Natanguliza shukrani.
  7. PageNoteFound

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sure mwanangu tujiandae vizuri, aya maisha Kuna MDA u aweza ukawa tapeli bila ya kupenda..
  8. PageNoteFound

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mkuu iv eGA Kuna asali eehe? Mishahara yao ikoje? Kama una dodoso lolote..
  9. PageNoteFound

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nakuelewa ndugu, tuombe mungu kwaninkila mtu ana njia yake ya kufika katika nchi ya ahadi, wao wenye izo connection watazitumia Mimi na ww wazee wa gombania goli tuendelee kupiga misuri Nina historia ya watu ambao awakua na connection ila sasahv wanakula asali ambayo hata ao wanaojifanya baba...
  10. PageNoteFound

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sure.. Kikubwa tujiandaeni wakianza kuzifungua zitakua ni mfukulizo mtu ukiwa umejiandaa vyema inakusaidia..
  11. PageNoteFound

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hapo anajuta kwann alikua anapiga kelele kua wanachelewa kuitwa kwenye interview...
  12. PageNoteFound

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Unaona unachelewa kuitwa ila ukiitwa zibakia siku mbili kabla ya mkando unajiona namna gani haujajiandaa vizuri..
  13. PageNoteFound

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Iv practicle za upishi uwa wnaapika kabisaa kabisaa na msahihisha uwa anaonja chakula ili kugawa marks???
  14. PageNoteFound

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Alafu wengi wao wanakuaga vichomi sana ukikutana navyo kazini. 😀😀
  15. PageNoteFound

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wazee wanaoshtukia kua wanatakia kujenga kukiwa kumebakia week Moja ku stahafu sio? Hapo lazima aombe dk za nyongeza..
Back
Top Bottom