Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 3,019
- 3,202
Mkuu upo NIT ya wapi 😀 😀 😀 . Sema tu unataka kujua taarifa zake.Mtego gani mimi nipo NIT ndio maana namuuliza
Mkuu upo NIT ya wapi 😀 😀 😀 . Sema tu unataka kujua taarifa zake.Mtego gani mimi nipo NIT ndio maana namuuliza
Asante sana.Karibu sana NIT
Hii siwezi kusema mkuu. 😁😁Umepata kada ipi
Mkuu upo NIT ya wapi 😀 😀 😀 . Sema tu unataka kujua taarifa zake.
Taarifa zake zitanisaidia nini mimiMkuu upo NIT ya wapi 😀 😀 😀 . Sema tu unataka kujua taarifa zake.
Sawa mkuu asante sana.Sawa mkuu karibu NIT ukihitaji msaada wowote karibu PM
Kaka umedumu huu uzi hongera kwa kiendelea kuwatia moyo vijanaHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Nipo ingawa kasi nimeipunguza sana.Kaka umedumu huu uzi hongera kwa kiendelea kuwatia moyo vijana
anaomba urudiwe tena 😀Hapo anajuta kwann alikua anapiga kelele kua wanachelewa kuitwa kwenye interview...
Bora hivi ili mtu aendelee na harakati zingine, sio ile kusubirishana kwa muda kwenye zoazoa halafu ukaja kukuta haujapata nafasiWaalimu wanalambwa
😂😂😂😂haka kalichosuka kameshapata kazi.🤣🤣
View attachment 3207747
Boss wangu hivi ratio ya 1:3 kwenye oral inatumika pia?Bora hivi ili mtu aendelee na harakati zingine, sio ile kusubirishana kwa muda kwenye zoazoa halafu ukaja kukuta haujapata nafasi
Ebu angalia nafasi za Walimu zilikuwa ngapi kwa Mwalimu daraja la IIIB then uangalie walioitwa kwenye oralBoss wangu hivi ratio ya 1:3 kwenye oral inatumika pia?
ok ngoja nicountercheckEbu angalia nafasi za Walimu zilikuwa ngapi kwa Mwalimu daraja la IIIB then uangalie walioitwa kwenye oral
walio selected ni wengi zaidiEbu angalia nafasi za Walimu zilikuwa ngapi kwa Mwalimu daraja la IIIB then uangalie walioitwa kwenye oral
Nafasi moja inagombaniwa na watatu boss kama zipo 10 mtaitwa 30 oralwalio selected ni wengi zaidi
ok asante boss sor kuna taasisi walitangaza nafasi moja ya kazi written tukafanya 128, oral tukafaulu 12 ukipiga hyo ratio ya 1:3 means kunatakiwa kuwe na nafasi nane sasa najiuliza hzo nafasi saba watazitoa wapi maana ukisema 1:3 means oral wangeenda watatu tu.Nafasi moja inagombaniwa na watatu boss kama zipo 10 mtaitwa 30 oral