Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 3,216
- 5,288
Aaah mkuuu nipo hapa mtaa fulan jua linabonnda mbayaaa ile ilee wakuu somen jiandaen vizur na interview tutoke huku mitaani aiseeMbayaaa
Aaah mkuuu nipo hapa mtaa fulan jua linabonnda mbayaaa ile ilee wakuu somen jiandaen vizur na interview tutoke huku mitaani aiseeMbayaaa
Aaah mkuuu nipo hapa mtaa fulan jua linabonnda mbayaaa ile ilee wakuu somen jiandaen vizur na interview tutoke huku mitaani aisee
Mkuu we piga tu mtu akiingia line watanzania ni wagumu sana kushituka na kuelewa kuwa napigwa. Ila usisahau kusoma kwa ajili ya interviewSure mwanangu tujiandae vizuri, aya maisha Kuna MDA u aweza ukawa tapeli bila ya kupenda..
Upo mkoa gani ?Dah nimewamiss sana watu wa Mungu,hata sikumbuki nliishia page ipi nicatch up.
Yote kwa yote Halmashauri kiboko jamani😭😢🙌🏾.
Am grateful nina kazi but dah maisha ni magum jamani i wish nihame. Yani apart from mshahara hakuna nachopata najua mtu hawezi amini,yani no posho no nini😢 unajikuta huna hata akiba.
Those times what mattered ilikua “cha muhimu uingie kwenye system , upate cheque number” haya sasa hivi ni kustruggle kupata green pasture kama kwenye maatasisi huko.
Nikiwaza sisi ndo wale tusio na connection nachoka🙌🏾, yani hujui hata uanzie wapi dah
Anyways nimewamiss sana nyie watu, nipo hapa nilipo kwa sababu Mungu alinitambulisha kwenu, na mkanisaidia mm kufika hapa,mbarikiwe sana nawapenda mnooo
Been a year now, sina amani nilipo lakini at least am not jobless, kama ambavyo sikujua ningepataje huku na nikapata i believe pia nitatoka kwenda mahali pazuri zaidi.
Some of us we have not had it easy kwenye maisha yetu, hatuna mapesa hatuna connection so miujiza tu ya Mungu.
Ukichek wenzio daily wanahama tu kwenda kwenye maatasisi mara Mkurugenzi abanie barua drama za hapa na pale, unabaki unakodoa macho tu like God when na mimi😢
Mtu anaripot anakaa miez 6 shwaaaa hadi raha,halafu kuna akina sisi. Yani nipo mkoa mgumu sana i wish mtu aelewe mana nje mzunguko hakuna kufungua biashara kwa mtu kama mm ni kama tu unatupa hela🙌🏾
Yani ndani ntiti nje ntiti,kheri kazin kungekua mtiti sawa mtu unaweza jibana ukaanzisha kakitu kwa kuwa kuna population kitaprosper bt huku watu hakuna kilimo ndo usiguse yani kama cursed place🙌🏾
Tupeane mbinu jamani tunatokaje huku Halmashauri😢
I have so much to say kwa moyo wangu😢
Tusubiri wajuzi wa mambo watufafanulie hili swala, maana niliona jina langu baada ya mda narudi kuangalia tena PDF silioniutumishi waliupdate pdf la placement la leo usiku sasa hivi naona wameliondoa itakuwa shida nini wakuu!!
Inasemekana Kuna wajina yamejirudia (upande wa walimu) yaani kweny mkeka wa tarehe 6 na mkeka wa Leo Kuna majina yamejirudia tena ndo mana wamefutautumishi waliupdate pdf la placement la leo usiku sasa hivi naona wameliondoa itakuwa shida nini wakuu!!
Ni kweli inabidi wajipange vizuri kwahali hii mtu anaweza kupata double placement Sema Hizi za walimu jamaa Wana kazi sana mpaka zije ziisheInasemekana Kuna wajina yamejirudia (upande wa walimu) yaani kweny mkeka wa tarehe 6 na mkeka wa Leo Kuna majina yamejirudia tena ndo mana wamefuta
Wanaenda nazo mdogo mdogo mpk mwezi wa kumi ili Mama apite kwa kishindoImekuaje Tena utumishi walitoa pdf mbili zakuita watu kazini Sasa hivi wamezitoa zote
Ni kweli inabidi wajipange vizuri kwahali hii mtu anaweza kupata double placement Sema Hizi za walimu jamaa Wana kazi sana mpaka zije ziishe
Ni wengine Sana sisi kada zengine ni mwendo wa Kobe tuImekuaje Tena utumishi walitoa pdf mbili zakuita watu kazini Sasa hivi wamezitoa zote
Ni kweli inabidi wajipange vizuri kwahali hii mtu anaweza kupata double placement Sema Hizi za walimu jamaa Wana kazi sana mpaka zije ziishe
Me naomba kujua hivi na transcript na birth certificate navyo viwe certified?Wale wa TRA.
Je, vyeti vyote unaweka kwenye PDF moja na ku upload sehemu Qualifications?
Mimi ninayo moja ya nemc yan nahisi hata washazipotezea maana wana applications nyingi pending mpk zingine wanasahauZile za Environmental officer za Nemc na Afisa mazingira za Halimashauri toka mwaka jana mpaka leo hawajatoa. Mnawakatisha tamaa wasogo zetu huku majumbani mjue.
Ndio Mkuu una attach Transcript tena iwe certified, Hawataki tu Partial Transcript.Kwan transcript nazo pia tunaatach? Kwenye conditions TRA si wamesema transcript hazitakiw au...naomba mnieleweshe hapo wandugu
Kila cheti na transcript yake weka kwenye PDF moja.Wale wa TRA.
Je, vyeti vyote unaweka kwenye PDF moja na ku upload sehemu Qualifications?