Kwa hiyo rahsully kesho saa 11:00 asubuhi utakua umeshika peni 🤣 🤣Wueeeh😂😂ni madame hapa
Nenda asubuhi saa 1 mkuu. HautojutiaWakuu pdf ya majina ilionesha muda wa interview ni saa 7:00 AM (Saa moja asubuhi) lakini pdf ya vituo inaonesha interview ni saa 5:00 Asubuhi.
Kwenye recruitment portal profile yangu inaonesha saa 7:00 AM (saa moja asubuhi)
Ipi ya kufuata hapa?
itakua saa 5:00 asubuhi saa 1:00 kutakua kuna awamu mbiliWakuu pdf ya majina ilionesha muda wa interview ni saa 7:00 AM (Saa moja asubuhi) lakini pdf ya vituo inaonesha interview ni saa 5:00 Asubuhi.
Kwenye recruitment portal profile yangu inaonesha saa 7:00 AM (saa moja asubuhi)
Ipi ya kufuata hapa?
Ukifeli usaili ulemavu wako haukubebi mkuuNaomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
😂Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
Favor itakuja ukiwa umefaulu kinyume na hapo hakuna namnaNaomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
Pitia job description zilizoainishwa utajua majukumu utakayotekelezaHabari za mda huu naomba kufahamishwa/kueleweshwa. Kwa upande wa mtu anaefanya programming/software developer alafu ukaenda tahasisi kama ya maji ambayo tayari hata website yake imetengezwa na eGA, uyu programmer/developer atakua anakazi gan kwenye iyo tahasisi na kimaisha upande wa maslai kama safari, padm na overtime zitakua kuaje hapo maana kama programm/software maana yake si zitakua zinatengenezwa na eGA? Khasanteni?
Pitia job description zilizoainishwa utajua majukumu utakayotekeleza
Nn kimetokea mkuumitihani mingine bana.tutakua hatujisomei sasa.... 🤣 🤣
yaani ukijisomea unapoteaza muda tu wanatoa vitu wanavyojua waoNn kimetokea mkuu
Wametoa maswali gani mkuu?mitihani mingine bana.tutakua hatujisomei sasa.... 🤣 🤣
maswali marefu hatari yaani sikumbuki hata moja. yaani nimekoma kujisomea aiseeWametoa maswali gani mkuu?