PageNoteFound
Senior Member
- Aug 18, 2024
- 159
- 421
Ukisha fanya oral inabidi uwe unafatiria kila PDF ? au kuna njia nyingine ya kujua umepata kazii
Njia rahis ni kufuatikia Kila pdf.
Ukisha fanya oral inabidi uwe unafatiria kila PDF ? au kuna njia nyingine ya kujua umepata kazii
Hao MDAs & LGAs watu hawataki kustaafu huko ndio maana muda unaenda itakata 2025 hakuna interviewUkiona ivyo ni huitaji wa tahasisi usika sio wa haraka, mfano Mimi Kuna tahasisi niliomba mwezi wa 10 na nyengine mwezi wa 8 ya mwezi wa 10 nimeitwa na kupiga paper tayri ila Ile ya mwezi wa 8 mpka mda huu bado sijaitwa hapo utasema tatizo ni PSRS? Hata izo za MDAs &LGAs nazo ni ivyo ivyo pia.
Hao MDAs & LGAs watu hawataki kustaafu huko ndio maana muda unaenda itakata 2025 hakuna interview
Wamekalia viti baada wapishe wengine wahudumiwe ushafika umri wa kustaafu staafu kwa hiari sio unalazimisha kubakia kazini kuna vijana wengi mtaani huku ajira wanazitaka hizo sasa mzee miaka 55 mpaka 60 kakomaa tu anataka atoboe mpaka 65 huko 70 staafu wewe mzeeWazee wanaoshtukia kua wanatakia kujenga kukiwa kumebakia week Moja ku stahafu sio? Hapo lazima aombe dk za nyongeza..
Kwa hyo wewe unaona ni sawa tu.Tumewahi subiri interview miezi 10
MDA&LGA Wamefanya juzi ukiondoa Account Diploma na degree naona kuna nyomi la watu database ...MDAs & LGAs unawajua ni akina nani? Huu unatoboa mwaka unakatika mtu ameombwa interview ipo pending tu
Maafisa kilimo, maafisa uvuvi, na kada nyingi tu hawajafanya bado mkuu.MDA&LGA Wamefanya juzi ukiondoa Account Diploma na degree naona kuna nyomi la watu database ...
Kwa muonekano unaoendelea kuna watu watasombwa database kuanzia LGA&MDA ya 2023 oct to .....Maafisa kilimo, maafisa uvuvi, na kada nyingi tu hawajafanya bado mkuu.
Hao vipengele vingi sana yaan nyomi lake kiboko kuna watu wamewekwa pending mpaka mwaka umetoboka wapi hakuna kituMDA&LGA Wamefanya juzi ukiondoa Account Diploma na degree naona kuna nyomi la watu database ...
Wamekalia viti baada wapishe wengine wahudumiwe ushafika umri wa kustaafu staafu kwa hiari sio unalazimisha kubakia kazini kuna vijana wengi mtaani huku ajira wanazitaka hizo sasa mzee miaka 55 mpaka 60 kakomaa tu anataka atoboe mpaka 65 huko 70 staafu wewe mzee
Ndio wastaafu tu na Serikali ishushe umri wa kustaafu sio 60 tena ivutwe vutwe hata 50 walau ukishafanya yako ukifika 50 kapumzike fanya mengine wapishe vijana sio wewe mpaka miaka 75 unataka uwe kaziniAlafu wengi wao wanakuaga vichomi sana ukikutana navyo kazini. 😀😀
Hawa jamaa ukiangalia sanaaa Changamoto kubwa ni ufinyu wa budget katika Taasisi yao katika kuendesha michakato ya ajira....Tuliza panic jobless mwenzangu, SI Kila lawama ni za PSRS . Lawama peleka kwa tahasis usika kwa kutokua na uharaka kwa watu wao.
Ngojea nikuulize kitu jobless mwenzangu:
1).iv unadhani bila ya PSRS zile post za TCRA tungeweza ata kuziona?
2).iv unadhani bila ya PSRS zile post za BOT ungeweza ziona?
PSRS imejitahid sana kuleta usawa wa ajira hasa kwa sisi ambao hatuna connection uko juu.
Simaanishi PSRS awana mapungufu la hasha, ila namaanisha ni mkombozi sana kwetu tusiokua na connection katika kupata ajira na kuchelewa kuitwa kwenye interview ni tahasis husika na sio PSRS.
Kka kyagata umu umetengeza heshima ako na huu uzi ndio mkafanya uende mpaka kufika hapaKwamba wewe tu ndio wa kwanza kupita utumishi mpaka uwe na harakaa?
Interview tu unalia,utumishi wa umma utauweza kweli?
Hawatoi hawa umbwa aisee hii inaeza enda mpaka mwezi wa 3Life is not fair apa Kuna mtu anaomba PDF la MDAs and LGAs litoke ata mwezi wa pili mwishoni ili awe amaemaliza vipengele vyake alafu Kuna mtu anataka litoke ata leo 🥺🥺
Alafu tangaz lenyew linarudiwa San na ndio maan. Pale wameandika re.advertznaona TAA wametoa tangazo ila interview kuita watu ndo hawataki [emoji38] [emoji38]
Ni kweli mkuu utumishi ni kume kuwa pagumu sana kwenye michakato yao ya ajira, ingawa taasisi ziki ajiri zenyewe napo undugu una kuwa mwingi kwenye kujuana ila ndio hivyo tena mwenye kupata fungu lake atapata tu.Utumishi ishakuwa upuuzi ,ni bora tu Taasisi waanze kuajiri wenyewe moja kwa moja ijulikane moja ,nilikuwa nawatetea sana utumishi humu ,ila kwa huu ujinga hamna namna ,huu ni useng€
Taasisi waajiri wenyewe atakayepata na apate atakaye kosa maisha yaendelee ,