Yaani wewe umeishi na NHIF halafu unalinganisha faida ya NHIF na coverage ya 8% vinahusiana nini?
Nimesema.hujui misingi ya bima wala misingi ya ukaguzi. Kaa kimya huna unalojua.
Watanzania kazi tunayo aisee. Ilipotangazwa hasara watu wakawa mbogo, sasa imetangazwa kupata faida bado mnabwabwaja tena.
Nilichojifunza mtoa hoja hujui misingi ya Insurance, hujui misingi ya Audit, hujui chochote unabwabwaja tu. Yaani CAG ahongwe na NHIF kwa kipi?
Naona unajiita PhD fellow...
Habari wakuu,
Naomba kupata uelewa kati ya engine 1GD Diesel na 2TR Petrol zote za Toyota Land Cruiser Prado. Ipi ni nzuri kwa durability, fuel consumption na parts?
Zote ni CC 2800
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wataalamu
Naipenda sana Volkswageni Touareg 2.5 Diesel Engine especially ya mwaka 2004 (maana latest Kodi yake siiwezi). Naomba kupata reviews kwa wataalamu kuhusu ubora wa gari hii, performance power, fuel consumption na kila kitu ambacho mtu ana uzoefu na gari hii. Natanguliza shukrani...
Aisee Wazinza, Wasumbwa, Watusi na Wakonongo sio Wasukuma hata kidogo. Hata hatuelewani nao kabisaaaaaaa. Sisi tunaelewana kwa rafudhi zetu ambazo zinampambanua huyu mnyantuzu, Mnang'wagala au mnasukuma. Lakini kamwe hatubaguani kama wachaga ndomana hiyo tofauti ya usukuman wengi hawaielew ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.