Mama kibosile 'ananitega' kazini

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,313
Wadau,

Kuna jamaa yangu kakutana na mama mtu mzima huko kunako ofisi. Huyu mama inaelekea hapewi sawasawa ile haki ya 6*6 huko nyumbani muda wote ni kama ana full miwasho huko chini na akikutana na jamaa kazini inakuwa majaribu tupu.

Mama ni kibosile fulani wakati jamaa ndo kwanza kaanza kazi. Jamaa anadai akikutana na mama basi ni full mitego. Kikubwa inaelekea huyo maza anataka kukunwa kule "pahala".

Kwa jamaa yangu huu ni mtihani mkubwa kifupi yupo njiapanda hajui afanyeje nini, je ampe mama mambo au la? Lakini hajui kama akimpa akanogewa itakuwaje kwa saabu jamaa naye ana maisha yake huko kitaa. Je mama akinogewa akadai waendelee itakuwaje?

Kaniomba ushauri nimeona ni ishu ya ajabu kidogo ni kama ndo kwanza naisikia kiuhalisia hivi.

Wadau ushauri jamaa amalize au aendelee kumpotezea mama?
 
Mwambie mamba ameshatabasamu baada ya kuona amefika mtu mtoni hiari yake tamfanye mamba acheke kabisa au amfanye anune. Huko tunaita ni kupendwa na shetan. Asubuhi njema mfowadie huo ushauri we amka best yangu mpendwa sasa twende viwandani c unajua tz ya viwanda ee. Twende kuipeleka nchi yetu kwenye uchumi wa kati..
 
Good advice...

Haya nami najitayarisha uelekeo viwandani
 
Maza anataka kutupunguzia nguvu kazi huyo. Kijana akumbuke tuu kutumia kinga kwani inaonekana nae tayari mama amemvutia tayari
 
Vjana wa leo tunaonekana kama cyo wanaume kamili,huwez jihusisha kmapenz na jirani yako au m2 unayefanya nae kazi kwenye ofc moja huo ndyo mwanzo wa kuharibi kaz!
 
Back
Top Bottom