Recent content by Pacemaker

  1. Pacemaker

    JamiiForums Tanzania 4 volunteers needed

    ukishajisajili Kama wakala utapata maelekezo ya kufuata kuweka tangazo Kama Wakala. Wakala anaweka tangazo kwa namna tofauti na wateja wengine
  2. Pacemaker

    JamiiForums Tanzania 4 volunteers needed

    Angalau 10 adverts kwa siku itakuwa poa
  3. Pacemaker

    JamiiForums Tanzania 4 volunteers needed

    Hi! I need some few volunteers who will be putting adverts on mnadan dot com website anywhere in the United Republic of Tanzania. It goes without saying that any who volunteers will be paid 500/- per each advert put online the sum 100,000/-will be collected after a volunteer reaches that...
  4. Pacemaker

    JamiiForums Tanzania Mama Salma's 47th birthday party

    I can't deny the hypothesis. Ijapokuwa hivyo macho hayana pazia.
  5. Pacemaker

    JamiiForums Tanzania Mama Salma's 47th birthday party

    Wajameeni kila nikitazama hiyo picha jicho langu linatua sana kwa huyu dada mwenye gauni lenye rangi za blue/zambarau na nyeusi upande wa kulia, Hivi kuna nini kati yetu? maana kila nikikwepesha wapi linarudi pale pale.
  6. Pacemaker

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kikwete awateua Meghji na Nahodha ubunge

    Nangojea baraza la mawaziri litangazwe. Yawezekana kukawa na staili ile ya THREE MINISTRIES WITHOUT PORTFOLIO KAMA ZENJ.
  7. Pacemaker

    JamiiForums Tanzania Hello JF. Ngo ngo ngo ngo!!!!!!

    Asante sana wote kwa ukarimu wenu.
  8. Pacemaker

    JamiiForums Tanzania Sitta ampa changamoto Makinda

    "Aliwaonya wabunge kwamba hatakiwi kupeleka ndani ya bungeni hoja zenye maslahi binafsi au kwa kutumiwa na mtu au vikundi vya watu na kusisitiza kuwa wapeleke bungeni hoja zinazotoka katika majimboni yao." NAFIKIRI KWA KUWA BUNGE NI NATIONAL ASSEMBLY WABUNGE HAWAPASWI KUWA LIMITED KWA MASWALA...
  9. Pacemaker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Football is never a fair game!

    "Two drawn games=One drawn game + one lost games = four point lost out of maximum six???" Mimi ni shabiki wa kandanda ila tafadhari Fafanua/rekebisha vizuri hapo sijaelewa bado.
  10. Pacemaker

    JamiiForums Tanzania Hello

    Karibu, Tanzania yetu inatuhitaji sote kwa pamoja tujumuike kujenga jamii imara ya kiraia. Mchango wako ni wa muhimu kufikia azma hiyo.Jitahidi tumia vizuri nyezo zilizopo kufanikisha Karibu sana.
  11. Pacemaker

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada

    Kazi zipo nyingi tu ndugu.Ila sijui kama umehitimu tayari ktk huo mchepuo au la, unampango wa kuendelea nao. Kama upo skuli pull up ur sox kuna fani nyingi professional zinahitaji watu wa arts km ww mfano mamboya maendeleo ya jamii vijijini jinsia km maths umo kiasi fln safi sana ukitaka uchumi...
  12. Pacemaker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa naskia tu toka kwa majamaa zangu kuwaaaaaa......

    Hilo ni suala la perceptions(mitazamo) kwa watu tofauti wapo na mitazamo mbali mbali. Kwa hiyo jibu ni subjective yes/no. Licha ya hivo nafikiri kuna limits. Kuna mtalaam 1 alisema !st condition of freedom is its limits. Kwa kuwa umezungumzia formula mind u hata kwenye numerical analysis ambapo...
  13. Pacemaker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akina dada naombeni jibu!!!!

    Sijui ni nature ya mabadiliko ya kimazingira au nn? Ila Mwl wangu wa Bios alishanieleza kw sehem ya ubongo wa kati kwa malediez inayoshughulika na mapoz ipo veri active na ndio maana wakikina dada huzungumza zaidi kwa vitendo km hivo, kanga moja pedo pusha n.k yote hayo ni mavazi, msg sent...
  14. Pacemaker

    JamiiForums Tanzania HISTORIA: Safari ya Anna Makinda kutoka Naibu Spika hadi Spika wa JMT

    Natumai wtz watendeleza uvumilivu kiasi lakini siku ipo si mbali tutashuhudia mabadiliko. Swala la kuchaguliwa mwanamke km ambavyo wadau wamelizungumzia linakuwa si ishu, Isipokuwa tu linapohusishwa na msukumo wa baadhi yao(kutaka kudhibiti bunge lisifanye kwa ufanisi kazi yake ya...
  15. Pacemaker

    JamiiForums Tanzania Regina Mwalekwa atimba Clouds FM

    Hivi hujapata kumsikia braza kaka mmoja pale anaitwa Milad Ayo, hutanganza sports nuzktk Habari ITV ama vipindi vingine radio 1.
Back
Top Bottom