Mama Salma's 47th birthday party

Wakuu kumpenda mkeo na kumuonyesha pasi mashaka ni agizo la allah , ktk hilo mkulu nimemkubali na mfano kwa wananchi wake tunaposema ndoa maana yake ndio hiyo wakuu
 
12_10_hhw05p.jpg

Source: Daily News, 2/12/2010

HAPPY BIRTHDAY,MUNGU AKUPE MIAKA MINGI ZAIDI ILI USHUHUDIE MAFANIKIO YA ADUI ZAKO.

wasiwasi wangu huyo mzee maana waganga mpaka vyumbani.mwaka huu hapatoshi
 
Yupi ni housegirl wao nikatoe posa?....sijui ni huyo wa tatu toka kushoto?...imagine kuoa ikulu hata kama ni HG

Waswahili tulivo housegirl atathubutu kuwepo hapo ndugu yangu? and afer all it's Ikulu, most of the times we tend to despise those of low class not knowing that, they're the most hardworking people in our society!
 
Wajameeni kila nikitazama hiyo picha jicho langu linatua sana kwa huyu dada mwenye gauni lenye rangi za blue/zambarau na nyeusi upande wa kulia, Hivi kuna nini kati yetu? maana kila nikikwepesha wapi linarudi pale pale.
 
MMMhhhh!!!! Mheshimiwa anaonyesha jinsi anavyojali familia ila ingekuwa vizuri chini ya picha tukapewa ka intro kidogo ka waliomo kwenye hiyo picha,naona watu wanahangaika kuguess nani HG, Mlinzi or family
 
Mkuu HG ni yule anaonekana kavaa koti la pink, skirt nyeusi na kasuka nywele za kiswahili kabisa. Tena anaonekana katoka umatumbini.
 
Hay akifanya Obana... Rais ana upendo, anajumuika, mtu wa watu, family man... na sifa zote atapata... akifanya Rais wa TZ Ooh msanii... tujenge tabia ya ku-appreciate vyetu jamani...

aaagh huyu kazidi bana mitoto mingi sana ..angalia kengine kadogo sijui kama miaka 2 hata mezani hakafikii..na huyo babu naye ndo nani sasa na kibarakatu kichwani....
 
Naona kama JK amepungua? Sijui ni macho yangu?

Bi mkora tupo bize na mambo ya makeki , sasa wewe unataka kutupa thread nyingine kabisa

haya kwa sababu umeamua kuchafua hali ya hewa we subiri tu, utapata majibu
 
Wajameeni kila nikitazama hiyo picha jicho langu linatua sana kwa huyu dada mwenye gauni lenye rangi za blue/zambarau na nyeusi upande wa kulia, Hivi kuna nini kati yetu? maana kila nikikwepesha wapi linarudi pale pale.
husuda
 
Mkuu HG ni yule anaonekana kavaa koti la pink, skirt nyeusi na kasuka nywele za kiswahili kabisa. Tena anaonekana katoka umatumbini.

Bado najiuliza Hg Ikulu? sio wapishi pro...?
Hata kama ni ndugu yao wangempiga sopusopu bana...
 
Hay akifanya Obana... Rais ana upendo, anajumuika, mtu wa watu, family man... na sifa zote atapata... akifanya Rais wa TZ Ooh msanii... tujenge tabia ya ku-appreciate vyetu jamani...

Inategemeana na kile acho ki-deliver kwa General Public. Kama ni msanii tabaki kuwa msanii tu hata.................
 
Back
Top Bottom