Recent content by pa1985

  1. pa1985

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

    Unapaswa kulifaham hilo... Aidha anapita katika kipindi kigumu chenye majaribu. Wote mke na mume wamtumaini sn mungu asije watupa wakafarakana
  2. pa1985

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

    I mean organ za mume wake zinauwezo wa kuzalisha? Kusababisha mimba?
  3. pa1985

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

    Mume wake mzima?
  4. pa1985

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

    Dkt mwaka anatosha au dkt mandai
  5. pa1985

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikosea sana nilipomruhusu abadili gia angani, sasa naona dalili kuwa itanitesa

    Daaah duniani kuna vituko
  6. pa1985

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kisiwa cha Cape Verde

    Watu mmejaliwa vituko...
  7. pa1985

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa Morogoro.

    Taja eneo lilipo hilo shamba
  8. pa1985

    JamiiForums Tanzania Kulikoni picha ya Raisi JMT?

    Hata me nimeshaiona ipo sokoni kitambo sn. Sema zinauzwa ghari sn
  9. pa1985

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hatuongezagi maji
  10. pa1985

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wadau carina TI inakula engine oil. Kila baada ya cku 2 naongeza lita 1. Chk up niliyoifanya moshi hautoki na wala hakuna leakage sehemu yoyote
  11. pa1985

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Jaman wadau. Naitaji vitu vifuatavyo taa used kubwa za mbele za carina TI Shokup used zote nne za carina TI. Bush, boll join na rings za tairi za mbele. NIPO DSM
  12. pa1985

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habarini za jioni wadau. Nimekua nikiomba mara kadha mniunganishe kwenye kundi la magar la wasup lkn wap. Mnifikirie basi... mshana jr fanya mambo kaka. 0719918789
  13. pa1985

    JamiiForums Tanzania Sumaye aibuka tena

    Umeifanya siku yangu iishe kwa furaha
  14. pa1985

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mafunzo ya njiwa...

    Hiyo nzuri iandikie then uitoe gazetini. Ji moja ya tafiti nzur ya kipekee. Unaweza kwenda mbali zaidi kuwachunguza na ikakutoa kimaisha
Back
Top Bottom