msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Ameongea ukweli mtupu!
dua la kuku halimpati mwewe.Napenda sana furaha lakini haidumu na furaha yenu haitadumu mtauona umuhimu wa huyo msemae mr 0
Napenda sana furaha lakini haidumu na furaha yenu haitadumu mtauona umuhimu wa huyo msemae mr 0
Huyu ana umuhimu kwako na si katika nchi hii, anayo record ya kuhudumu ktk uwaziri mkuu kwa miaka 10 na katoka hana analojua Zaidi ya kulaumu wenzie ndio maana aliyemchagua kamwita Lofa na Mpumbavu kabisa. Hii ni katika mifano mibaya kabisa.
anazidi kudhhirisha kuwa ni mr.zero.
anazidi kudhhirisha kuwa ni mr.zero.
Umeifanya siku yangu iishe kwa furahaHebu weka picha yako tuione kama hunayo na wewe. Masikio kama tingatinga
tena sana tu na mngejua kinachoendelea sasa dhidi yao mngewaonea tu huruma. ngoja niishie hapa!
Kachoka sumaye
Huu uchaguzi umemchakaza usoni.
Ona makunyanzi yalivyoongezeka!!!
Alikuwa anajua anashindana na Dola, kabla au baada ya kushindwa !?
Alikuwa Waziri Mkuu kwa miaka 10, hakuweza kuwa na mbinu za kung'amua dola linafanya kazi vipi ili ategue mitego ?........... huyu jamaa kweli 0 !
tena sana tu na mngejua kinachoendelea sasa dhidi yao mngewaonea tu huruma. ngoja niishie hapa!