Fahamu kuhusu kisiwa cha Cape Verde

Fahamu kuhusu kisiwa cha Cape Verde

Mkuu njia ya kufika huko toka hapa kwa nyerere ikoje? Nipe muongozo
Mkuu nilikuwepo uko mwaka jana mwanzoni nazani mojawapo ya nchi nzuri za kiafrika kuanzia kwa watu na mazingira ila garama za kutalii ziko juu kiasi
Njia ya kufika mm nilitokea (nbo) nairobi kwa maana ni karibu nakoishi arusha flight cost was around 2240 usd 2 way Conection 3 maxm hours 15 hrs kufika
 
Mkuu nilikuwepo uko mwaka jana mwanzoni nazani mojawapo ya nchi nzuri za kiafrika kuanzia kwa watu na mazingira ila garama za kutalii ziko juu kiasi
Njia ya kufika mm nilitokea (nbo) nairobi kwa maana ni karibu nakoishi arusha flight cost was around 2240 usd 2 way Conection 3 maxm hours 15 hrs kufika

Tupia fursa ulizopata kuziona huko!! Wapo juu au chini kiuchumi??
 
Nimebatakia kufika na kukaa kwa wiki 3, kuna watoto wazuri aiseee, ni hatari. Cha nyongheza tu, jamaa wanapenda sana kufanya jogging jioni. Ni sehemu ya maisha yao ya kila siku.
 
Sema kaka!

Cape verde ni kama Brazil baadhi ya sehemu kwa mambo mengi, imagine unachapa binti ya watu wazazi hawana hata time na nyie, serious yaani khaa hebu twende Cape Verde bana tukasafishe exposure!!
Hahahah mopao miaka ya 71 tungeenda jiacha hakukua na ngoma sasa nomaaa watoto wenyewe wale awafai kuliwa kwa kijiko
 
Picha tafadhali.

Calhau_Shoot_228.jpg%7Eoriginal
 
1) Cape Verde ni kisiwa kwa muonekano kinafanana sana na Zanzibar.
2) Ili kufika Cape verde ni lazima hutokee moja ya nchi za West Africa sana sana Senegal na nchi za jirani na Senegal kwa maana hakuna ndege za moja kwa moja mpaka Praia.
3) Mji mkuu wa Cape verde ni Praia na sarafu ya nchi iyo uitwa Escudo.
4) Ilikuwa na idadi ya watu laki nne na nusu tu.(nb: yaweza ongezeka) wanawake ikiwa ni laki tatu na wanaume laki na nusu.
5) Watu wa Cape verde ni machotara wa Kireno na Weusi, mfano wa wazawa wa Cape verde ni mwanamitindo maarufu wa Marekani Amber Rose.
6) Raisi wao aliwaomba kila mcape verde wa kiume awe na mahusiano walau na wanawake wawili ili kufanya kila mwanamke apate mwenza.
7) Dunia nzima kuna wa Cape verde million mbili tu(nb: idadi yaweza kuongezeka), wa cape verde wengi wanaishi nchi za ulaya Ureno ikiongoza.
8) Kuna mtanzania mmoja tu tena mwenye asili ya Zanzibar anayeishi na kufanya biashara ya mgahawa nchi Cape verde.
9) Weekend kwa wa Cape verde inaanza Jumatano mpaka Jumapili, (ni wavivu na wapenda starehe pesa zao nyingi utumwa na ndugu zao wanaoishi bara Ulaya).
10) Ukiwa na mahusiano na msichana wa Kicapeverde unaweza kwenda nyumbani kwa wazazi wake na kufanya mapenzi uku wazazi wakiwepo sitting room bila kujali then ukajiondokea bila tatizo lolote wao ni kawaida tu.
11) Kuna wakati team ya mpira wa miguu wa Tanzania (Taifa stars) kipindi cha Maximo kama sikosei ilikuja kucheza na Cape verde wakajaga na Boeing ya Air Tanzania kwa wakati huo, cha ajabu wa Cape verde hawakuwaigi kuona ndege kubwa kubwa kutua mjini Praia na habari zikaenea mji mzima kuwa nchi tajiri imekuja kucheza Cape verde kisa ndege iyo ni kubwa na kwakuwa iliwasubiri wachezaji kwa siku zote walizokuwa Cape verde.
12) Kuna mabinti wazuri sana Cape verde hawa wa kuitwa mapoint five ila usishangae amebeba sinia la ndizi akiuza mjini Praia ni kawaida sana.
13) Cape verde ni nchi inayoongoza kwa Demokrasia Africa.
 
Back
Top Bottom