Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

Rafiki yangu ameniomba nizae na mume wake

Aisee suka niache hapo matumbi kwa Mnyamani nitaenda kwa mguu .....mwanzo wa uzi nilikua na shauku ya kujua kinacho endelea ila kadri unavyo toa majibu yako dah ,yaani wewe ,ubebe mimba ,ujifungue ,halafu ukabidhi mtoto ,wakati hayo yote yanaendelea mmeo atakua kwenye COMMA au ??
Kuna kesi moja sijui kama umewahi kuisikia...Jamaa alikuwa ana tatizo..Akakubaliana na mke wake wamlipe jirani ili mke wake alalwe na jirani abebe mimba..Jirani naye alikuwa njaa kali..Alipofwatwa na kutajiwa hicho kiasi cha pesa ikabidi akubali tu...Basi wakaanza mieleka na yule mke wa mtu...Ndani ya miezi sita wakawa wamekutana zaidi ya mara 72 bila mwanamke kushika mimba...Mume akaingiwa na wasiwasi..Ikabidi amchukue yule jamaa na kwenda kumpima..Jamaa alivyopimwa ikagundulika hana uwezo wa kumpa mimba mwanamke..Mume alimind kinoma..Ikabidi amshtaki..

Ndo kinachoweza kutokea hapa..Huyu dada ataweza alale na huyo baba na mwisho wa siku mimba isiingie
 
Nikipata muda mzuri ntakurudia inbox. There is always a Way. Msikate tamaa, Itawezekana kupata mtoto wake mwenyewe na kwa mume wake. Only utayari wao utahitajika.
Namie naomba unichek my kaka ukipata muda
 
Je nimekosea kuwakatalia?????km kweli wewe ni mke wa mtu muulize hili swali mmeo halafu huone majibu yake
 
Kuna kesi moja sijui kama umewahi kuisikia...Jamaa alikuwa ana tatizo..Akakubaliana na mke wake wamlipe jirani ili mke wake alalwe na jirani abebe mimba..Jirani naye alikuwa njaa kali..Alipofwatwa na kutajiwa hicho kiasi cha pesa ikabidi akubali tu...Basi wakaanza mieleka na yule mke wa mtu...Ndani ya miezi sita wakawa wamekutana zaidi ya mara 72 bila mwanamke kushika mimba...Mume akaingiwa na wasiwasi..Ikabidi amchukue yule jamaa na kwenda kumpima..Jamaa alivyopimwa ikagundulika hana uwezo wa kumpa mimba mwanamke..Mume alimind kinoma..Ikabidi amshtaki..

Ndo kinachoweza kutokea hapa..Huyu dada ataweza alale na huyo baba na mwisho wa siku mimba isiingie
Haha sawa Kaboom ila hapa ujue ni kitu tofauti anaye ombwa abebe mimba ni mwanamke wa mtu ambaye kwa vyovyote vile mmewe hawezi kuridhia hicho kitu ,sasa kutokana na maelezo ya bibie hapo juu ndio nikamuuliza kipindi chote hicho atakacho beba mimba,ajifungue,,bwana ake atakua amelazwa mahututi ama ???
 
Je nimekosea kuwakatalia?????km kweli wewe ni mke wa mtu muulize hili swali mmeo halafu huone majibu yake
Sithubuti kuuliza manake najitambua,na sababau yakuliza hapa nikwasababu shogangu aliongea maneno makali nikahisi kama anahisi sijali maumivu yake au simuelewi what she is going through,ndio sababu yakutaka kuuliza waungwana humu kama jee nimefanya vibaya kumwambia No au kulikua na njia nyengine zaidi yakumuelewesha ili isimuume sana...
 
sasa kama mimba alitoa mwenyewe kwa nini awasumbue watu.. Kweli malipo ni hapa hapa duniani
its true lakini akiwa kama binadamu namuonea huruma manake sasa anaelekea kufanya maamuzi bila kujua result yake mbele sio nzuri...........
 
Kuna kesi moja sijui kama umewahi kuisikia...Jamaa alikuwa ana tatizo..Akakubaliana na mke wake wamlipe jirani ili mke wake alalwe na jirani abebe mimba..Jirani naye alikuwa njaa kali..Alipofwatwa na kutajiwa hicho kiasi cha pesa ikabidi akubali tu...Basi wakaanza mieleka na yule mke wa mtu...Ndani ya miezi sita wakawa wamekutana zaidi ya mara 72 bila mwanamke kushika mimba...Mume akaingiwa na wasiwasi..Ikabidi amchukue yule jamaa na kwenda kumpima..Jamaa alivyopimwa ikagundulika hana uwezo wa kumpa mimba mwanamke..Mume alimind kinoma..Ikabidi amshtaki..

Ndo kinachoweza kutokea hapa..Huyu dada ataweza alale na huyo baba na mwisho wa siku mimba isiingie
Mkuu huyu shoga yangu anataka mimi ndio nilale na mumeweeeeeeeeeeee hakuna dada wana shangazi ni mieee...
 
Kuwa nao makini sana hao marafiki zako, watakuharibia familia na maisha yako usipokuwa mwangalifu
 
I mean organ za mume wake zinauwezo wa kuzalisha? Kusababisha mimba?
 
Habari ya asubuhi Waungwana,

Nina rafiki yangu lakini tunaishi nchi tofauti tunakutana mara 3-5 kwa mwaka hua mie nikienda nchi anayoishi anakuja kunitembelea na yeye akija nnakoishi anafikia kwangu.

Yeye hajabahatika kupata mtoto mwaka wa 5 sasa tangu ameolewa,jana wakati tuna kula akaniomba tuonge kitu muhimu baada ya chakula,nikamwambia inshallah tutaongea.

Basi baada ya chakula na mambo mengine nikaenda kuwalaza watoto nikaenda chumbani kwake
haya nimekuja tuonge,basi akanambia kama unavyojua sina mtoto na nimejaribu dawa zote unazo
zijua zakizungu na miti shamba sijafanikiwa kupata ujauzito sasa tumeshauriyana na Mume wangu
nikamwambia changua rafiki yangu yoyote mimi ntaongea nae ili atupatie mtoto.

Mie macho niliyatoa nakutetemeka juu,nikamwambia sijafahamu unamaanisha nini ukisema rafiki yako akupe mtoto jee unataka nikupe mwanangu ule au vipi? kasema NO nataka ulale na mumewangu nilimshangaa lakini sikutaka ahisi vibaya ilibidi nijikaze nikamwambia na ilikuwaje nikawa mie?

Kasema ndani ya moyo wangu nili wish mumewangu akuchague wewe na aliposema bora wewe ndio nikafurahi zaidi.

Waungwana nilimpa maneno mengi yakumpa moyo lakini naomba nisema kua sijakubaliana na ombi lake na nimemwambia anisamehe sitoweza kufanya hicho kitu ila ntamsaidia kwa hali na mali.

Nitamuulizia kwa watu kama kuna tiba lakini kwa mimi siwezi na mumewe pia niliongea nae nikamwambia wanisamehe sitoweza,jee nimekosea kuwakatalia?

Sijapenda lakini sina choice
naipenda Family yangu sanaa na hata hili jambo silifikishi kwa Mr.
Inabidi ajue kwanza Tatizo liko WP yawezekana ukampa huyo jamaa na kwako ikashindika huyo mtoto na huku ameshakumega. Mshauri waende kwanza wajue tatizo liko wp na aangalie historia ya familia zao. Mimi nimeowa mwaka 1992 mtoto wangu wa kwanza 1997 hivi nina 9
 
Back
Top Bottom