Watu wengi hawajui jinsi mifuko ya Bima ya Afya inavyofanya kazi, hasa mfumo wa Bima ya Afya ya Taifa.
Kwanza tujue Bima ya Afya ya Taifa imeanzishwa kwa sheria, na awali ilianza kwa kukata mishahara ya watumishi wa serikali bila kujali kama huumwi au waumwa. Na ukweli hii michango ya Watumishi...
Sikujua kama huyo mheshimiwa ana cheo kikubwa hivyo. Namna yake ya kujibu maswali haikuwa stahili, wengine wakadhani ni arrogant kumbe sivyo. Mashauri au mawazo mengine angeyafanya nje ya pazia. Mawazo mema na bora hayakamiliki kuwa mazuri hadi yakiwasilishwa kwa staha.
Huwa nasoma sana maandiko yako Mzee Mohamed Said. Mara nyingi huwa marefu na ambayo huwa hayaleti muungano wa kitaifa. Mtu akimaliza kusoma hujengewa chuki tu, na ndio maana kwenye maandiko yako huwa na majibizano yasiyojenga.
Shida yako kuu ni hiyo mistari hapa chini ambayo hujirudiarudia...
Mtazamo chanya pia waweza kuwa, Mkuu wa Mkoa wa DSM yupo karibu sana na familia ya Rais. Huwezi msalimia mara ya pili, mtu ambaye mmeshaonana naye muda mfupi uliopita.
Inawezekana tunakosa mengi kwa kutotumia mfumo wa pesa za kidigitali. Binafsi huwa inanisumbua sana kushindwa kupokea pesa kupitia Paypal, ingawa kutuma si shida. Lakini bahati mbaya tukubali kwamba sheria bado haziruhusu ijapo mataifa mengine yananufaika na hizi huduma. Yamkini kuna wadau wa...
Ukiacha Usafi wa Kigali, Rwanda huwa inajimwambafai kwenye vyombo vya habari vya kimataifa zaidi ya uhalisia. Ukienda kwenye ground utakuta vitu vichache vimefanyika Kigali. Hata hizo VW sijui wataziuza wapi.
Mkuu Pascal Mayalla
Kweli unaweza ukawa na hoja. Lakini ulinganifu unaweza usifanane kulingana na nyakati na mission walizofanya kwa vipindi vyao. Kuna walioongoza vita. Kuna waliofanya jeshi liwe dogo na la kisasa n.k. Ukienda jeshini, utasikia Mwamunyange ndio anasifiwa sana. Sijui alifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.