VIDEO: Paul Mwangosi ka-copy Awesome God wa Debora Lukalu?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
5,615
2,000
We ni mshamba hakuna serious copyright cases kwenye gospels we utakuwa timu pinzani...haya yanafanyika kusaidia injili iende mbele

PAUL MWANGOSI (Beat na baadhi ya Maneno japo kapiga kiswahili

DEBORA LUKALU
NB: kU-COPY KUMEINGIA MPAKA KWENYE GOSPEL? Mnazugia kilugha na kiswahili ila wajuvi tutawaumbua tu
 

dtj

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
1,318
2,000
Ila mleta uzi wewe utakua muimbaji wa gospel hizi mnavaa Njano na Nyekundu mnarukaruka afu mnakaa nyuma kanisani huwa hamsali.

Afu mwisho wa kuimba ka^wimbo kako ambako kako flaaat unaanza kusema" nina CD zangu pale nyuma naomba support yenu"

Nakushauri acha wivu na majungu kwa waliotangulia. Dunia nzima ni kawaida sana kwa Gospel songs kurudiwa na kutafasiriwa hakuna baya hapo labda wewe haupo informed mzee.
 
  • Thanks
Reactions: THT

Juma1967

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
17,165
2,000
Ila mleta uzi wewe utakua muimbaji wa gospel hizi mnavaa Njano na Nyekundu mnarukaruka afu mnakaa nyuma kanisani huwa hamsali.

Afu mwisho wa kuimba ka^wimbo kako ambako kako flaaat unaanza kusema" nina CD zangu pale nyuma naomba support yenu"

Nakushauri acha wivu na majungu kwa waliotangulia. Dunia nzima ni kawaida sana kwa Gospel songs kurudiwa na kutafasiriwa hakuna baya hapo labda wewe haupo informed mzee.
Plagiarism ya hali ya juu hii Wabonogo ubunifu ZERO
 

andreakalima

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
4,603
2,000

PAUL MWANGOSI (Beat na baadhi ya Maneno japo kapiga kiswahili

DEBORA LUKALU
NB: kU-COPY KUMEINGIA MPAKA KWENYE GOSPEL? Mnazugia kilugha na kiswahili ila wajuvi tutawaumbua tu

Bits zimekaa kisauzi hizo sexaphone ndo kakopi kwa huyo rebeka. bado lijamaa litajoina staa kibongobongo
 

1gb

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
1,986
2,000
Maneno Mengi ya injili huwa yanajirudia,kwa maana vitabu vya injili ni vinne tu ambavyo aghalabu huwezi kuta muhubiri kahubiri bila kugusia matendo ya injili kutoka ktk kitabu kimojawapo kati ya Luka,Marko,Mathayo na Yohana.
Hata kama ataanza na somo lolote kutoka ktk kitabu chochote ndani ya biblia.
Vivyo hivyo hata injili kwa njia ya uimbaji maneno yawe ya sifa,kuabudu,matendo ya Mungu,au Ukuu na Maajabu ya Mungu n.k
Huwa yanajirudia mara nyingi saaana tu.
Hata ukijiibidiisha maneno aloimba debora na mwangosi kuyatafuta katika nyimbo za makabila ya wengine/mataifa ya wengune na lugha zao utayakuta.
Kwaio mpendwa Injili sio Bongo fleva ya akina Uno hata mwenyehati miliki ya maneno aseme afute wimbo/nyimbo Youtube usitumike.
Kwny Gospel hakuna hicho kitu.
Pole sana.

Hizo nyimbo by the way zikipigwa popote kila mtu ana barikiwa kwa namna yake mwenyewe.
Nikupe kisa kifupi cha Biblia....


Unashangaa Ya mwangosi ku mcopy Debora huyaoni ya mtu alie m copy na ku paste ya Bwana Yesu mwenyewe?
Mark 9:38-40
Yohana akamjibu, akamwambia, Mwalimu, tulimwona mtu akitoa pepo kwa jina lako, ambaye hafuatani nasi; tukamkataza, kwa sababu hafuatani nasi.
Yesu akasema, Msimkataze, kwa kuwa hakuna mtu atakayefanya mwujiza kwa jina langu akaweza mara kuninenea mabaya;
kwa sababu asiye kinyume chetu, yu upande wetu.
Nasisitiza kidhungu.
"For he that is not against us is on our part"

Nakuambia wewe mwanafunzi usimuandame mwangosi,ili mradi tu hayupo kinyume na debora,
Kwa hivyo mwangosi ni part ya muamini wa anachokiamini debora.​
 
  • Thanks
Reactions: dtj

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
13,930
2,000
joshua_ok,

Hakuna mfanano wa choir ya Mwangosi vs Lukalu katika nyimbo hizo mbili.

Sema umetishwa na kupigwa butwaa kwa viwango vilivyoinulia ktk muziki wa gospel Tanzania ktk kila idara kwenda viwango vinavyokubalika kimataifa.

Mfano viwango vilivyoinuliwa na waTanzania ni watumia / wapiga ala , sauti za waimbaji, live perfomance , kutawala jukwaa , kujiamini , kuteka focus ya wasikilizaji / watazamaji , full surround sound, sound engineering, video crew na umakini ktk kazi yao ya Kiroho.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom