Wizi mpya mjini Said - Electronic

nagG

JF-Expert Member
Oct 26, 2015
277
258
Habari zenu wadau, kuna wizi mpya unaendelea mtaani hasa kwa wanunuzi wa bidhaa za electonic.

Kuna huyu mtu anajiita Said - Electronic huko Instagram anajitangaza anauza vitu vya electronic kutoka Zanzibar kwa bei nafuu hivyo anakwambia unaletewa mzigo ukishatuma hela nusu.

Msimuamini huyu ni mwizi, nimeona niandike maana mimi ameshaniibia kwa kuamini nitatumiwa Tv, nimeona niandike ili nanyi msiwe wahanga, ukishatuma hela unablokiwa na pia sehemu ya comments kule insta kaizima ili walioibiwa wasicomment kitu anajiita Said Nyaso kwenye namba ya simu.
 
IMG_7366.JPG
 
Kweli utatuma pesa humjui mtu mradi kajitangaza kibiashara akili hiyo sina waache awatafune tu
 
Mkuu huo mbona wizi wa zamani sana sema sababu umeibiwa wewe ndio unadhani ni wizi mpya. Pole sana mkuu.
 
Pole Mkuu!

Ulifanya kosa kutuma pesa kama hukuona comments za ‘wanunuaji’ wengine.

Habari zenu wanadau kuna wizi Mpya unaendelea mtaani hasa kwa wanunuzi wa bidhaa za electonic kuna huyu Mtu anajiita said-electronic huko instagram anajitangaza anauza vitu vya electronic kutoka Zanzibar kwa bei nafuu hivyo anakwambia unaletewa mzigo ukishatuma hela nusu, msimwamini huyu ni mwiziii, nimeona niandike maana mimi ameshaniibia kwa kuamini nitatumiwa TV nimeona ni andike ili Nanyi msiwe wahanga, ukishatuma hela unablokiwa na pia sehemu ya comments kule insta kaizima ili walioibiwa wasicomment kitu anajiita Said Nyaso kwenye namba ya simu
 
Mpumbavu mpya in town..Ukome kupenda kitonga ma karibu mjini usirudie tena kutuma pesa kipumbavu hivyo

Back
Top Bottom