Recent content by owino

  1. O

    Hivi ni sahihi Dj's kupiga nyimbo za Injili Club/Lounge

    Yesu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi...... Ukipigwa huko mtu anaweza kuokoka na kumrudia Mungu.
  2. O

    KUTOKA VIKINDU: Polisi wapambana na majambazi, askari mmoja adaiwa kuuawa

    Sasa Lisu kaingiaje hapo?nadhani tungempongeza kwa kuongea ukweli maana walikurupuka bila kufanya uchunguzi wakasema ukuta inahusika katika Yale mauaji.....I think now jeshi letu la police litakua linafanya uchunguzi kabla ya kutuumu moja kwa moja tena kwa sababu za kisiasa na kuacha...
  3. O

    Uko wapi Udikteta wa Rais Magufuli?

    Ni kwenye katiba tu mkuu hapo ndo tatizo..... Na katiba ndo inatuongoza
  4. O

    Mwenye taarifa juu ya ucheleweshwaji wa pension PSPF

    PSPF ina dai pesa nyingi nje kuliko ilionayo kwa hiyo inaweza kufa ckumoja
  5. O

    Waajiri (serikali na binafsi) acheni kuvipendelea vyuo vya IFM na UDSM katika ajira

    Mwana TIA mimi ila nacheza na kazi ninavyotaka na nilisoma procurement ila nimefanya kazi taasisi kubwa za serikali na kwenye banks..... Kwa hiyo cjawahi kujuta kusomea TIA.... Kama ulimeza hapo ndo tatizo ila kama ulielewa hamna shida
  6. O

    Gari IST inatafutwa

    Mnunuzi
  7. O

    Gari IST inatafutwa

    Gari
  8. O

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Natafuta gari IST ambayo ipo Kwenye hari nzuri offer yangu ni 7m - 7.5 m ni PM kama unayo tafadhali
  9. O

    Gari IST inatafutwa

    IST ambayo bado ipo Kwenye hari nzuri inatafutwa offer 7m-7.5m kama unayo ni PM
  10. O

    Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki

    Juzi tu meya wa manispaa ndo kapatikana ata vikao vya madiwani bado kwa sababu ya uchu wa madaraka wa ccm....kwa hiyo kua mvumilivu
  11. O

    Nataka Carina au IST

    Gari la kununua linatafutwa haraka... Namba iwe C
  12. O

    Natafuta gari la kununua

    Mwenye carina namba C please ani PM
  13. O

    Weka mbali na wanawake. Ni mfano tu

    Je wewe mwanaume ukiumwa hao 2,3 nani atawahudumia?
Back
Top Bottom