Mwenye taarifa juu ya ucheleweshwaji wa pension PSPF

Mwenye taarifa juu ya ucheleweshwaji wa pension PSPF

mwendambio

New Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Waheshimiwa: Aliyena taarifa ucheleweshaji wa pension PSPF wa July - tujulize.
 
Je wao wamepata mishahara? Wanaongea tu mambo ya wazee lakini hili halifuatiliwi na serikali kwa sababu serikali ndiyo inafilisi hii mifuko. Ningekuwa na uwezo singekubali hii mifuko ni unyonyaji
 
PSPF ina dai pesa nyingi nje kuliko ilionayo kwa hiyo inaweza kufa ckumoja
 
Back
Top Bottom