Baelezee shokola! Mshamba huyu hajui anachotaka? Gari sio registration namba bali mashini na bodi! Kuna gari AAA bado bomba kuliko baadhi za C na D! Nina Premio AVC nimepata offer ya 8m na bado nadengua mpaka nichache labda! Siitoi!Usinunue kwa kufuata namba ya usajili. Utakuja nunua magari yalokwosha kuchemsha, kunoki au kukongoroka.
Siku zote fuata ubora na uimara wa gari.
Mwenye carina namba C please ani PM
cc ngapi mkuucorona ahy na km 128000 tu manual je?
1480cc singleowner used ocassionally only.cc ngapi mkuu