Recent content by outbox

  1. O

    JamiiForums Tanzania Wana ukonga list ya wabunge hiyo

    jerry c anategemea vijana..akiwarubuni tu kwa mipira na bia
  2. O

    JamiiForums Tanzania Sixtus Mapunda amvaa Msigwa Iringa, Vijana wasukuma gari yake

    maccm hayana maana
  3. O

    JamiiForums Tanzania GE2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

    kwa jinsi unavyo muona lissu anaweza kuwa na gentleman? unadhani akiwa rais anaweza kubaki uprof wa kupewa? naona anafaa kuwa president.ila jazba ndo shida
  4. O

    JamiiForums Tanzania Idd Azan, mwanamume hasusi! Usiliachie jimbo la Kinondoni kwa sababu ya fitina za CCM

    jamaa jembe ila anatetea mafisadi..acha aheshimu uamuzi wake
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    jamaa hajawahi..ila nani tumpe urais au tumpe nyarandu/nchemba a.k.a singida boys
  6. O

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    msimu huu hatupo sawa
  7. O

    JamiiForums Tanzania Suala la ESCROW, Ikulu yabanwa zaidi

    hivi prophet tb joshua hakuliona hili la escrow ili tujihadhari kabla ya hatari?
  8. O

    JamiiForums Tanzania AirAsia Plane Crash PROPHECY - T.B. Joshua

    unabii biashara
  9. O

    JamiiForums Tanzania AirAsia Plane Crash PROPHECY - T.B. Joshua

    huyu jamaa hata simuelewi kwakweli...mdomo wazi
  10. O

    JamiiForums Tanzania Kusafiri safari ndefu kwa kutumia toyota passo

    kwani kuna gari ya akina mama na akina baba?kikubwa tunaangalia matumizi ya mafuta..ingekuwa kiberiti kinawekwa mafuta na kutembea..mi ningetumia hicho
  11. O

    JamiiForums Tanzania Kabla hujakimbilia kununua smartphone za Tigo, soma hapa ili usije kulia baadae!

    umasikini huu utatumaliza
  12. O

    JamiiForums Tanzania CCM wamshambulia mdhamini CHADEMA

    huyu jamaa sijui anatumia masaburi kuwaza maana hata kona haoni yanayotokea nchi nzima
  13. O

    JamiiForums Tanzania Utumishi hii sio fair kabisa

    utumishi bado ni chombo ninachokiamini kwa ajira za watoto wa wakulima...hakuna upendeleo..idara hii ipo smart..kikubwa vijana tujiweke.sawa kwa interview sio kuamini ulichokifanya ni sahih wky hata maandalizi ni poor
  14. O

    JamiiForums Tanzania Utumishi hii sio fair kabisa

    ninachojua utumishi hufanya interview za aina mbili..practical na oral.. watu wa mtindo huo sio.kwamba kachomekwa ila anakuwa alifanya interview ya kwanza ya kazi hiyo hiyo hakufanya oral..so anaitwa ili amalizie..mfano madereva na masekretari..
  15. O

    JamiiForums Tanzania TBC, ITV, Star TV, Channel 10 kunani leo siku ya uchaguzi muhimu kwa taifa letu?

    tbc watatangaza overall tesults
Back
Top Bottom