Wana ukonga list ya wabunge hiyo

singsong

Member
May 7, 2014
77
9
- Mama Mwaiposa kasema yumo,

- Meya was ilala naye anasema kata imemshinda wapinzani wamezonga aka fie mbele

- Ramshi Patel naye mimi iko taka jaribu tena

Wapo wengine ni vishoia hawafai hata kutajwa humu. Hapo tubakwenda na nani mimic binafsi nasema afadhali zimwi likujualo mama bado anatosha kajitahidi sana kushuka kwa watu.
Ahadi zake kajitahidi.
 
Tatizo kubwa hii mijitu inadhani fedha ni kila kitu. Jerry Slaa ndo hafai hafai kajamaa kananata hadi familia ilimshinda huyo.

Ramesh muhindi hatumpi hatujamwona tangu tumpatie Nec na ahadi hajatimiza hata moja.
Kama hatajitokeza mwingine naafiki huyo mama aendelee hana makuu ni mchapa kazi. Tukimwita kwenye shida lazima aje juzi tulikuwa naye kivule nyang,andu kwenye barabara iliyotengenezwa Chini ya kiwango
 
Ndugu hata mimi ningeunga mkono ukawa lakini Mwita Waitara hatoshi :
- Mimi mwana kivule tumempa mtaa bado hajafanya kazi ya kunishawishi
- 2010 alikwenda kugombea ubunge kwao hawakumpa iweje sisi ukonga tumpe kirahisi na kwao walimwona hafai .Msifanye Ukonga kichwa cha Mwendawazimu kila mtu anajifunzia hapo

- Ni mlevu na hujikojolea mbele ya watu. Wanaukonga hatuko tayari kuwakilishwa na Mwita Waitara.

-Ana tamaa ya madaraka hajui anachokihitaji
 
Chuki binafsi haifai
 
Mwita Waitara ni kichwa jamani tuacheni chuki mimi nawasapoti wana Ukonga chagueni kichwa cha ukawa
 
huyo mama yenu hatumpi...ameshindwa kututengenezea barabara ya majohe kama alivyo jinasibu...
 
Semeni lingine na tutakutana humu humu Ukonga ameiweza Mwaiposa peke yake. Chuki zenu binafsi acheni Majohe kawatengenezea bars ya kutoka Pugu majohe viwege ilikuwa haipitiki na toka toka majohe kutokezea pugu relini . Nyie acheni huyu mama miaka minne kafanya mengi

Tuambie Waitara kafanya lipi nyie mmejawa na ukabila mpekekeni kwenu alikokataliwa kwa sababu ya kujikojolea hadharani.
Tunawahakikishia tutabwaga Ukonga hapati kura kabda kivule mnakolea ukabila
 
Wee kidole007 unafanana na jina lako acha viroba vyako toa sababu siyo Mahanga wenu alikaa ukonga miaka 15 hatukumwona hata kwenye mkutano mmoja kalidumaza jimbo , Mwaiposa siku chache tu maendeleo kibao umeme kivule karibu unaenea, makazi kipunguni katunusuru kuhamishwa , bara2mombaza ziliwashinda midume miaka yote kaweka lami. Maji kivule visima virefu 6 .Kiwanda kapigana kimefungwa kilikuwa kero kwa wananchi na mengine lukuki .Hivi nyie mapimbi mnataka kiongozi lazima a we mkuria tu ?

Mwaiposa kajitahidi lazima tumpatie miaka 5 mingine.
Huyo diwani wenu nyansika zaidi ya kugombanisha watu kafanya nini kivule kwanza hajui kusoma mkuria Huyo.

Hongera mama tena leo umenguruma Bungeni kuhusu bara2 ya njia 6 nimekusikia asubuhi na jioni umechangia upungufu wa madawa hosp zetu , wazee pensheni na mikopo Kwak vijana mh usikatishwe tamaa na mijitu mengine
 
- Mama Mwaiposa kasema yumo,

- Meya was ilala naye anasema kata imemshinda wapinzani wamezonga aka fie mbele

- Ramshi Patel naye mimi iko taka jaribu tena

Wapo wengine ni vishoia hawafai hata kutajwa humu. Hapo tubakwenda na nani mimic binafsi nasema afadhali zimwi likujualo mama bado anatosha kajitahidi sana kushuka kwa watu.
Ahadi zake kajitahidi.
Huyo mama aishie zake. Kanjibai naye.
 
Wee kidole007 unafanana na jina lako acha viroba vyako toa sababu siyo Mahanga wenu alikaa ukonga miaka 15 hatukumwona hata kwenye mkutano mmoja kalidumaza jimbo , Mwaiposa siku chache tu maendeleo kibao umeme kivule karibu unaenea, makazi kipunguni katunusuru kuhamishwa , bara2mombaza ziliwashinda midume miaka yote kaweka lami. Maji kivule visima virefu 6 .Kiwanda kapigana kimefungwa kilikuwa kero kwa wananchi na mengine lukuki .Hivi nyie mapimbi mnataka kiongozi lazima a we mkuria tu ?

Mwaiposa kajitahidi lazima tumpatie miaka 5 mingine.
Huyo diwani wenu nyansika zaidi ya kugombanisha watu kafanya nini kivule kwanza hajui kusoma mkuria Huyo.

Hongera mama tena leo umenguruma Bungeni kuhusu bara2 ya njia 6 nimekusikia asubuhi na jioni umechangia upungufu wa madawa hosp zetu , wazee pensheni na mikopo Kwak vijana mh usikatishwe tamaa na mijitu mengine
Hayo unayaona wewe tu au kuna kitu unafaidi
 
Mzee wa ukweli nakuunga mkono mtu anapouliza aliyoyafanya mama mwaiposa unayaona wewe tu si afuatilie kuona kama ni kweli ?

Acha bangi za vijiweni nenda kulikotajws ukaone kama ni ndo uje na fact humu.
Acha fitina za kiuni udhani kazi ya mbunge ni kukuletea fedha kijiweni.
Acha ufala usipokuwa makini utaolewa na wenzako sababu ya kupenda dezo za vijiweni
 
Back
Top Bottom