Sixtus Mapunda amvaa Msigwa Iringa, Vijana wasukuma gari yake

Sixtus Mapunda amvaa Msigwa Iringa, Vijana wasukuma gari yake

Si ni nyinyi CCM ndio huwa mnasema kiongozi gari yake kusukumwa sio hatua ya ushindi.... Mbona leo mnafurahia ujinga mnaoupinga.... Ok hao watu wote hawakumpa Msigwa kura, walimpa kada mwenzao na bado akashindwa.... This time Tommorrow....
 
Naamini wana Iringa ni watu makini sana hawawezi kumpa kura wezi Ccm hapo mjini,Wale walio sukuma gari wamepewa buku mbili mbili tu wakajifaliji na ulanzi
 
Mwaka huu ni mwaka wa watu wa iringa mjini kula pesa za maccm! Ccm watamwaga pesa nyingi sana kama rushwa iringa mjini ili kuwahonga wananchi.

Ni kweli kamanda watu waandaliwe namna nzuri ya kula pesa za maccm
 
dah siasa bana et wanaomba ukomboz wa ccm kwan hii.njchi anaongoza nan
 
mbona hakuna mabomu kama wakati wa Prof Lipumba huko TMK? Au walikuwa na kibari?
 
Kusukumwa ni aibu. kijana mdogo akisukumwa ndani ya shangingi ni ujinga na kufuru. I hate tabia hizi.
 
wajinga NDIO waliwao NA Chama Cha Mafisadi (CCM)
 
Sixtus ni nani,mbona sijawahi kumsikia.kipaji kipya kimeibuka?
 
Kuna watu ukiwauliza hapo hilo gari tulilokuwa tunalisukuma alikuwemo nani hawajui kwa sababu wameambiwa mkiona gari mkimbie mlisukume na wengi ni watoto wa mabalozi wa nyumba kumi.

wamenunuliwa ulanzi ,hawajui lolote pale
 
Back
Top Bottom