TBC, ITV, Star TV, Channel 10 kunani leo siku ya uchaguzi muhimu kwa taifa letu?

Tanzania Kwanza 2015

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
452
0
Jamani vyombo vya habari vya Tanzania majanga matupu.... sasa hivi ni saa 9:00 usiku nnacho ona TBC ni wanyama pori, star tv series za nje, chanel 10 sky news, ITV ni CNN... je ni kwamba wamezuiwa wasirushe mambo yanayo jili hasa matokeo ya uchaguzi huu muhim unao endelea kwa sababa CCM wameona wanshindwa? Je mbona mataifa mengine chaguzi zao tunaziona kwenye vyombo vyao vya habari hata kama hatutaki.... Hii ni kuaibisha taaluma ya habari kwa kweli... Heri JForum..... niko macho kwa sababu mnanipa raha....
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
16,826
2,000
Hizi double standards zitaisha tu punde. Ni suala la kusubiri
 
BUBE

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
844
500
Mkuu umesahau hata wakati meli fulani ilizama huko Znz waheshimiwa waliendelea kupiga mziki kana kwamba hakuna kitu kimeharibika
 
CattleRustler

JF-Expert Member
Oct 26, 2013
1,056
1,250
Jamani vyombo vya habari vya Tanzania majanga matupu.... sasa hivi ni saa 9:00 usiku nnacho ona TBC ni wanyama pori, star tv series za nje, chanel 10 sky news, ITV ni CNN... je ni kwamba wamezuiwa wasirushe mambo yanayo jili hasa matokeo ya uchaguzi huu muhim unao endelea kwa sababa CCM wameona wanshindwa? Je mbona mataifa mengine chaguzi zao tunaziona kwenye vyombo vyao vya habari hata kama hatutaki.... Hii ni kuaibisha taaluma ya habari kwa kweli... Heri JForum..... niko macho kwa sababu mnanipa raha....
Angalau umeliona hilo. Mimi kinacho ikera zaidi ni raia wa kawaida kutokuweka video za matukio online wakati simu zao zina kamera. Labda nikutokana na vifurushi vya internet kuwa bei juu kwa raia wa kawaida. Dunia ya sasa watu hawa text tena maswala yamuhimu. Watu wanawela video online hata baadae mtu akiiba kura unaanikwa online na realtime
 
Tanzania Kwanza 2015

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
452
0
Mkuu umesahau hata wakati meli fulani ilizama huko Znz waheshimiwa waliendelea kupiga mziki kana kwamba hakuna kitu kimeharibika
kwa kweli ni shida mkuu... hivi Chadema hawawezi kuwa na Tv yao? Japo sheria za vyombo vya habari bado ni kandamizi basi angalau wawe nakini kuonyesha yale ambayo hawana wasiwasi nayo kwamba watafungiwa...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom