meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
- Thread starter
- #41
Tundu Lissu kinara wa kukwamisha maendeleo Jimboni kwake hadi sasa Singida nzima ina vyumba vya kutosha vya madarasa lakini kwa Tundu Lissu ni aibu tupu.
Maabara mbili tu zilizokamilika tena zimejengwa na World Bank lakini zingine hata msingi haujaanza anasubiri serikali zijenge wakati watoto wake wote wapo International School Dar wakipata elimu bora.
Kahamasisha wananchi kufukia visima vya Maji kule Londoni hadi leo maji ni adha kubwa kwa wananchi wake yeye akiendelea kunywa maji ya Kilimanjaro na kuoga maji ya shower ya Ruvu Juu.
Vyumba vya madarasa sio issue mkuu!Kwa historia baba yake na Lissu aliwahi kuitoa nyimba yake iwe shule ya msingi.
Unachangisha wananchi maskini kujenga maabara wakati kodi yao halali inaliwa na singasinga hui ndio upuuzi asioutaka Lissu.
akichukua nchi hii michango ya kipuuzi ndio mwisho wake.