Recent content by Otto Van

  1. O

    Ubakaji JKT(mafunzoni)

    we mtoa mada,huo uongo unaoutoa ni wa kipumbavu maana mm ni moja kati ya watu niliopita JKT last session,hakuna kitu kama hicho,tulikuwa tunaudumiwa vizuri tu kuliko hata Service.co kitu kizuri kuongea mambo ya uongo kwenye mitandao ya kijamii kama hii,huna uhakika na unachoongea na kama ni...
  2. O

    Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

    Mkuu hapo umeongea ukweli,huyu jamaa inawezekana amesoma kile chuo cha majigambo na wazee wa chabo kwenye pepa!namuhakikishia kwamba kama angesoma IFM au IAA huyo angedisco mziki wa pale acngeuweza.muulize wanafunzi gani wanaofanya vizur kweny soko la ajira?au mwambie afuatilie mitihani ya bodi...
  3. O

    JWTZ washatua Congo - M23 wanapiga kampeni kuwajengea chuki kwa wananchi

    Kwan mkuu nguo zingine hujaziona hadi uvae zenye asili ya jeshi?mbona za police,magereza au mgambo hamvai?kaka ukitaka kuvaa hizo gwanda we nenda ukapigwe convection miez sita thn ndio utajua utamu na uchungu wake!
  4. O

    Bibi akamatwa baada ya ndege yake kuanguka kwa rada kukosea njia

    Huyu inaonekana alipita kwenye no flying zone(juu ya paa la kanisa).
  5. O

    Ndege ya Marehemu Wakili Nyaga Mawalla yaanguka na kuharibika 'write-off'

    Mmh naona mali zake zinaanza kumfuata taratibu. Mwisho wa cku utackiwa amekuwa bankruptcy....tatizo matajiri wengi ni wazee wa manyaunyau wakifa na mali zinaanza kupotea.duuh...Mungu amuweke mahali panapo stahili.
  6. O

    special forces!

    MD25 acha kudanganya wenzako,nimesoma maelezo yako na inaonyesha unaongea kitu usicho kijua.Kuwa Comando Half bawa haina maana ni makomamdo nusu,lahasha bali ni kwamba wamemaliza mafunzo yote ila tu wanasubiria kuruka na miavuli(parachuty)ni hilo tu basi!na wakat mwngine mtu anapenda kuvaa half...
  7. O

    Vurugu za kugombea kuchinja nyama huko Tunduma muda huu

    Jaman nakanguruwe kangu naombeni mnitafutie shekh aje anichinjie!!!!!
  8. O

    N. Korea kupimana nguvu kijeshi na Marekani

    Mmh na hapo tucsahau nchi za kiarabu ambazo zipo against na Marekani.itakuwa ni vita ya 3 ya dunia.Mungu atepushie mbali
  9. O

    Mwigulu Nchemba: Jeshi limeapa na kuahidi mbele ya chama (CCM) kukilinda mpaka kufa!

    Jamaa aache ujinga wake,aliyemwambia jeshi linachama nani?jeshi lipo kwa ajili ya nchi la limeapa kumtii Rais yeyote atakaekuwa madarakani aache uzuzu wake!!!
  10. O

    N. Korea kupimana nguvu kijeshi na Marekani

    Mkuu hii story yako ya kwamba marekan ilitangaza kuivamia cuba ndani ya masaa 52 thn Rusia ika rudi nyuma co kweli,Marekan iliivamia cuba kwa kutuma makomandoo wake 32 ambao hawakurudi hata mmoja 15 walitekwa na 17waliuwawa!always Marekan hapendi kupigana vita ambayo italeta effect kwny ardhi...
  11. O

    Ogopeni kusoma kombi dhaifu

    Wewe lazima utakuwa ulitaga?!!!!!
  12. O

    Msange JKT 823 KJ - Nimekwenda salama, nimerudi salama

    Force number utapewa ww wa wiki tatu?kwa taarifa yako hiyo ni number ya power tiller!
  13. O

    JK ameuliza: Nani asiyejua kuwa watoto wanafeli, maji Kimara hakuna, reli hakuna?

    Mnafikiri yeye ataongea nn kama mwanae alipata ZERO!!
  14. O

    Maaskofu mkoani Mbeya wa pinga tamko la kamati ya ulinzi ya mkoa

    Nyie yaanzusheni tu,cku zote mtoto akilelewa kwenye huwa anatanani shida impate japo cku,ndugu zangu shida huwa haiombwi.Aman tuliokuwa nayo kuna watu wanaililia hebu tusimjaribu Mungu kwa hilo,mizinga na mabomu yatakapoanza kulia na ww ukiwa wa kwanza kupoteza wapendwa wako ndipo majuto...
  15. O

    Kinara vurugu za kidini huyu hapa

    Tatizo la nyie watoto wa nama wa kambo ni elimu.shule kichwan hakuna thn mnataka usawa.huo usawa utoke wapi wakati mnaongoza kukimbia umande?mmekakia elimu akhera tuu!ukisoma bible methali inakuambia mshike elimu usimuache aende zake! Ndio maana wenzenu wanafia kwnye buk!!chezea elimu wewe!!!
Back
Top Bottom