Recent content by Oruba

  1. Oruba

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa ulioibuka kisiwa cha Lyakanyasi; Mamlaka za afya Sengerema zitoe taarifa kinachoendelea

    Wizara ya afya, ofisi ya mganga mkuu wilaya ya Sengerema, mkoa wa Mwanza, tunaomba taarifa kuhusu kinachoendelea katika kisiwa cha Lyakanyasi kutokana na ugonjwa ulioibuka na unaodaiwa kusababisha vifo vya watu takriban watano hadi sasa. Wananchi wanaeleza kuwa wagonjwa wanapata dalili za...
  2. Oruba

    JamiiForums Tanzania HOJA TTCL inapaswa kuboresha utoaji wa taarifa kwa wateja kuhusu huduma zake za intaneti

    hicho ni kichwa cha wendawazimu, taasisi mbovu sana ya mawasiliano nchini wanachoweza zaidi ni kupaka rangi ofisi zao.
  3. Oruba

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina 60,000 niiweke kwenye nusu na fainali kombe la dunia nipeni mwongozo

    tajiri huu mkeka wako bado unaendelea kweli?
  4. Oruba

    JamiiForums Tanzania Kama kutairi na kukeketa vyote vinahusisha kutoa sehemu ya mwili mbona hivi sasa?

    nahisi unajua sababu ya mtoto wa kike kukeketwa!
  5. Oruba

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe Kuongoza Uchunguzi Malalamiko ya Mtihani wa Law School

    yupo mwanafunzi ndio
  6. Oruba

    JamiiForums Tanzania Wamarekani 40,000 wametapeliwa kwa utapeli wa link ya kujifanya kampuni inatoa zawadi

    matapeli mengi ni Nigerian
  7. Oruba

    JamiiForums Tanzania Uganda: Mwanamke amzika mtoto wake wa miezi miwili akiwa hai

    Dah kumnyima mtoto chakula kisa ni haramu kweli,hao wazazi wake nao wanamkosa pia maana mtoto hana hatia yoyote.
  8. Oruba

    JamiiForums Tanzania Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha Sheria inayotoa mamlaka kwa mtu kujipima UKIMWI

    Mchawi ni majibu na ukifika mda Wa kupewa majibu kwanza ushauri unaanza unaweza hisi tayari ushaungua,kuna kipindi tuko advance level tukaenda kupima sasa kwenye kupewa majibu sasa ukaanza ushauri Mara huku kuna ngoma sana so vijana tutumie kinga,jamaa mmoja akasema yeye angekutwa na ngoma ndio...
  9. Oruba

    JamiiForums Tanzania Bangladesh: Watu wapatao 15 wafariki na wengine 58 kujeruhiwa katika ajali ya treni katika Mji wa Dhaka

    Hawa watu wanakufa bhana, au kuna wahuni walikua wanapika humo na mtungi wa gesi maana wao nao wanajitoa sana akili. Mungu azilaze mahala pema roho za ndugu zetu waliotangulia
  10. Oruba

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Kikundi cha Jihadi cha Ukanda wa Gaza auawa

    Sio sawa ila ndio hivo Mwenye nguvu mpishe; sisis wenyewe watu wanafurumushwa kwenye maeneo yao, eti unaambiwa hili ni eneo la barabara Mara hii ni sehem ya wazi, mara oooh imekwenda imerudi, mara hifadhi wakati umezaliwa hadi unazeeka eneo hilo hilo ila ndio mwenye nguvu akisema utatoka tu iwe...
  11. Oruba

    JamiiForums Tanzania Mexico imeliomba shirika la FBI kushiriki katika uchunguzi wa shambulio ambalo liliwauwa raia 09 wa Marekani na Mexico

    Ila mwanzo walisema hawataki marekani iwaingilie then kuhusu hayo mauaji walisema wauaji walihisi ni wapinzani wao katika mabifu yao ya makundi ya magenge ya madawa ya kulevya hasimu.
  12. Oruba

    JamiiForums Tanzania Jaji wa New York amesema Trump arudishe dola milioni mbili alizochukua kwa ajili ya Kampeni za 2016

    Ndio wake ila sheria ya matumizi ya fedha lazima yafuatwe
  13. Oruba

    JamiiForums Tanzania CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

    Dah.....Moshi tena bora wabaki hao
  14. Oruba

    JamiiForums Tanzania Bolivia: waandamanaji wa upinzani wampaka rangi, wamtembeza peku na kumkata nywele Meya mmoja

    Hahaha..... Mexico meya aliburuzwa na gari sio poa baada ya kutokamilisha ahadi anazotoa
Back
Top Bottom