Mexico imeliomba shirika la FBI kushiriki katika uchunguzi wa shambulio ambalo liliwauwa raia 09 wa Marekani na Mexico

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,525
9,326
Mexico City: Serikali nchini Mexico imeliomba shirika la FBI kushiriki katika uchunguzi wa shambulio ambalo liliwauwa raia 09 wa Marekani na Mexico.

Wizara ya Mambo ya nje nchini Mexico ilitoa mwaliko huo kupitia barua ya kidiplomasia kwa ubalozi wa Merekani nchini Mexico.

Katika taarifa iliyotolewa na shirika la FBI ilisema shirika hilo litasaidia katika uchunguzi huo, na kuongeza kuwa shirika hilo limejitolea kufanya kazi pamoja na washirika hao wa kimataifa kusaidia kuleta haki kwa wahusika wa dhuluma hiyo ya ukatili.”

Ikumbukwe kuwa mnamo Jumatatu wiki iliyopita, watu wenye bunduki waliwauwa wanawake watatu na watoto sita kutoka jamii ya Wamormoni kaskazini mwa Mexico.
 
Ila mwanzo walisema hawataki marekani iwaingilie then kuhusu hayo mauaji walisema wauaji walihisi ni wapinzani wao katika mabifu yao ya makundi ya magenge ya madawa ya kulevya hasimu.
 
Jeshi letu haliwezi omba msaada labda auliwe Balozi wa Marekani Tz
 
Ni
Mexico City: Serikali nchini Mexico imeliomba shirika la FBI kushiriki katika uchunguzi wa shambulio ambalo liliwauwa raia 09 wa Marekani na Mexico.

Wizara ya Mambo ya nje nchini Mexico ilitoa mwaliko huo kupitia barua ya kidiplomasia kwa ubalozi wa Merekani nchini Mexico.

Katika taarifa iliyotolewa na shirika la FBI ilisema shirika hilo litasaidia katika uchunguzi huo, na kuongeza kuwa shirika hilo limejitolea kufanya kazi pamoja na washirika hao wa kimataifa kusaidia kuleta haki kwa wahusika wa dhuluma hiyo ya ukatili.”

Ikumbukwe kuwa mnamo Jumatatu wiki iliyopita, watu wenye bunduki waliwauwa wanawake watatu na watoto sita kutoka jamii ya Wamormoni kaskazini mwa Mexico.
jambo jema
 
Back
Top Bottom