Kiongozi wa Kikundi cha Jihadi cha Ukanda wa Gaza auawa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,395
images (16).jpeg

PALESTINA: Baha Abu Al-Atta amefariki kufuatia shambulio la anga lililotekelezwa na vikosi vya Serikali ya Israeli

Taarifa za awali zinaeleza kuwa licha ya kuuawa kwa Al-Atta katika shambulio hilo pia watu wengine 3 wamejeruhiwa

Hivi karibuni Baha Abu Al-Atta alilauamiwa na Vyombo vya Habari vya Israeli kwa husika na mashambulio yaliyotekelezwa katika mpaka wa Israeli na Palestina

=============

GAZA/JERUSALEM (Reuters) - Israel killed a top commander from the Iranian-backed Palestinian militant group Islamic Jihad on Tuesday in the Gaza Strip, drawing day-long rocket salvoes in the worst cross-border fighting in months.

The rare targeted strike which killed Islamic Jihad’s Baha Abu Al-Atta in Gaza came as Syrian state media said a separate missile attack had hit the home of an Islamic Jihad official in Damascus, killing two people including one of his sons.

Syria said Israel carried out the Damascus strike. Israel did not comment.

As the rocket fire and Israeli air-strikes continued into the night, Gaza medical officials said 10 Palestinians had been killed, including Al-Atta and his wife.

About 25 Israelis were hurt in the Gaza rockets salvoes, some of which reached as far as Tel Aviv.

The U.N.’s Middle East envoy was en route to Cairo to mediate a truce, a diplomatic source told Reuters.

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said Al-Atta was a “ticking bomb,” responsible for a string of recent cross-border rocket, drone and sniper attacks and was suspected of planning more very soon.

“Israel is not interested in escalation, but we will do everything required to defend ourselves,” said Netanyahu, who oversaw Israel’s last Gaza war in 2014. “This could take time.”

At Al-Atta’s funeral in Gaza, mourners fired guns into the air chanting “revenge!” as Islamic Jihad leader Khaled Al-Batsh said: “Israel executed two coordinated attacks, in Syria and in Gaza, in a declaration of war.”

However, financial market reaction was muted, anticipating no major escalation. Recent such rounds of violence have ended with the help of Egyptian and U.N. mediation.

“The United Nations has been involved throughout the day to de-escalate,” a diplomatic source told Reuters on condition of anonymity.

Hamas, the Islamist group that rules Gaza, joined Islamic Jihad in condemning Israel.

Though both are sworn to the destruction of Israel, they have not always been in lockstep on strategy. Islamic Jihad, free of the burden of governing Gaza’s impoverished 2 million Palestinians, has at times chafed at Hamas’s efforts to secure a long-term ceasefire with Israel.

A vehicle burns after a factory caught on fire in Sderot, southern Israel November 12, 2019. REUTERS/Ammar Awad

Israel’s military chief, Aviv Kochavi, said Al-Atta had been obstructing the truce bid. Hamas said Israel “bears full responsibility for all consequences of this escalation,” and pledged that Al-Atta’s death “will not go unpunished.”

IRAN SHOWDOWN?

The exchange of fire sent civilians on both sides huddling for shelter and forced businesses and schools to close.

Al-Atta, 42, and his wife were killed in the pre-dawn strike that destroyed a floor in their home, scattering debris around their neighborhood.

Further air-strikes in Gaza, which the Israeli military said targeted Islamic Jihad gunmen and various sites belonging to the group, killed eight more Palestinian men. Islamic Jihad confirmed that four of those men were its members.

Gaza residents said four others belonged to another armed group. Medical officials said 30 Palestinians had been wounded, as ambulances streaked through abandoned streets and Israeli missiles landed, many in open areas.

In Israel, officials said about 25 people had sustained mostly light injuries. Among the sites hit by Palestinian rockets were a toy factory in the border town of Sderot and a highway where CCTV footage showed a bus barely escaping the impact.

The Israeli military said that around 200 rockets were fired at Israel, some of them reaching as far as the country’s commercial hub Tel Aviv. Dozens were intercepted and dozens more fell in open areas.

The shekel ILS= was up 0.1% against the dollar, recovering from an earlier dip. The main Tel Aviv share index .TA125 closed 0.1% lower.

U.S. Ambassador to Israel David Friedman said on Twitter:

“Palestinian Islamic Jihad, an Islamist terrorist org backed by Iran, is again attacking Israel with 100’s of missiles aimed at civilians. We stand w(ith) our friend & ally Israel.”

Israel casts Gaza tensions as part of a regional struggle with arch-foe Iran that has also played out in Syria.

Right-wing Netanyahu has invoked such scenarios in trying to form a broad coalition government with center-left rivals to secure a fifth term after two inconclusive elections this year.

Islamic Jihad said the target of the Damascus attack was the home of a political leader, Akram Al-Ajouri. Israel’s Army Radio described Al-Ajouri as head of Islamic Jihad’s military wing.

At the scene of the Damascus strike, a Reuters journalist said the top floor of a two-storey building had been completely scorched. It was unclear whether Al-Ajouri was hurt.

Syrian state media said six people were wounded as well as the two people killed.

In recent years, Israel has carried out hundreds of strikes in Syria against Iran and the Tehran-backed Lebanese Hezbollah group, which it calls the biggest threat to its borders.

Source: Reuters
 
Good work from IDF magaidi yanapungua na ushetani unapungua proportionally

Ingekuwa wewe babu zako wamefurushwa kwenye ardhi waliyoishi zaidi ya vizazi kumi (babu wa babu wa babu wa babu wa babu wa babu wa babu...) kisha vuuup bin vuuu mwaka 1948 unaambiwa hapa hii ardhi kihistoria tulipewa na Mungu wetu nyie na mababu zenu mlikuwa mnakaa hapa kimakosa (kwa wale wenzetu labda wangesema nyinyi ni makafir), kisha wewe na familia yako (baba, mama, babu, bibi, dadazo, kakazo n.k) mnaenda mnaweka kwenye gereza la wazi (Gaza- anga na ardhi na bahari vyote vinamilikiwa na Israel), ukiamua kushika silaha kupingana na huu uonevu bado tungekuita GAIDI? Ukifa tushangilie?
 
ingekuwa wewe babu zako wamefurushwa kwenye ardhi waliyoishi zaidi ya vizazi kumi (babu wa babu wa babu wa babu wa babu wa babu wa babu.....) kisha vuuup bin vuuu mwaka 1948 unaambiwa hapa hii ardhi kihistoria tulipewa na Mungu wetu nyie na mababu zenu mlikuwa mnakaa hapa kimakosa (kwa wale wenzetu labda wangesema nyinyi ni makafir)...kisha wewe na familia yako (baba, mama, babu, bibi, dadazo, kakazo nk) mnaenda mnaweka kwenye gereza la wazi (Gaza- anga na ardhi na bahari vyote vinamilikiwa na Israel)...ukiamua kushika silaha kupingana na huu uonevu bado tungekuita GAIDI?ukifa tushangilie?
Sio sawa ila ndio hivo Mwenye nguvu mpishe; sisis wenyewe watu wanafurumushwa kwenye maeneo yao, eti unaambiwa hili ni eneo la barabara Mara hii ni sehem ya wazi, mara oooh imekwenda imerudi, mara hifadhi wakati umezaliwa hadi unazeeka eneo hilo hilo ila ndio mwenye nguvu akisema utatoka tu iwe kwa amani ama nguvu so maisha ndio yalivyo.
 
Sio sawa ila ndio hivo Mwenye nguvu mpishe cc wenyewe watu wanafurumushwa kwenye maeneo yao,eti unaambiwa hili ni eneo la barabara Mara hii ni sehem ya wazi mara oooh imekwenda imerudi mara hifadhi wakati umezaliwa hadi unazeeka eneo hilo hilo ila ndio mwenye nguvu akisema utatoka tu iwe kwa amani ama nguvu so maisha ndio yalivyo.
Nakubaliana nawe kwa upande flan ila binafsi siwezi waita wapalestina magaidi (ingawa kuna vitu vingi sikubaliani nao) rather wapigania uhuru/haki zao.
 
ingekuwa wewe babu zako wamefurushwa kwenye ardhi waliyoishi zaidi ya vizazi kumi (babu wa babu wa babu wa babu wa babu wa babu wa babu.....) kisha vuuup bin vuuu mwaka 1948 unaambiwa hapa hii ardhi kihistoria tulipewa na Mungu wetu nyie na mababu zenu mlikuwa mnakaa hapa kimakosa (kwa wale wenzetu labda wangesema nyinyi ni makafir)...kisha wewe na familia yako (baba, mama, babu, bibi, dadazo, kakazo nk) mnaenda mnaweka kwenye gereza la wazi (Gaza- anga na ardhi na bahari vyote vinamilikiwa na Israel)...ukiamua kushika silaha kupingana na huu uonevu bado tungekuita GAIDI?ukifa tushangilie?

Kuna mambo ni huzunishi kuliko ata huzuni yenyewe, hata kwa ukristu wangu Israel ya kina Netanyahu haijawahi kunishawishi kwa muundo na namna ilivoibuka na kama ndo Israeli iliyosemwa kwenye Bible basi Mungu wa Bible ni wakuzugia ulimwengu sio Mungu Muumba wa Mbingu na ardhi.
 
Kuna mambo ni huzunis hi

kuna mambo ni huzunishi kuliko ata huzuni yenyewe, hata kwa ukristu wangu Israel ya kina Netanyahu haijawahi kunishawishi kwa muundo na namna ilivoibuka na kama ndo Israeli iliyosemwa kwenye Bible bas mungu wa Bible ni wakuzugia ulimwengu sio mungu muumba wa mbingu na ardhi
Hawa Wayahudi ni watu wabaguzi mno mno (hata kwa Wazungu wenzao wasio Wayahudi) watu wote wa mataifa ambao si Wayahudi tunaitwa "gentiles".
 
ingekuwa wewe babu zako wamefurushwa kwenye ardhi waliyoishi zaidi ya vizazi kumi (babu wa babu wa babu wa babu wa babu wa babu wa babu.....) kisha vuuup bin vuuu mwaka 1948 unaambiwa hapa hii ardhi kihistoria tulipewa na Mungu wetu nyie na mababu zenu mlikuwa mnakaa hapa kimakosa (kwa wale wenzetu labda wangesema nyinyi ni makafir)...kisha wewe na familia yako (baba, mama, babu, bibi, dadazo, kakazo nk) mnaenda mnaweka kwenye gereza la wazi (Gaza- anga na ardhi na bahari vyote vinamilikiwa na Israel)...ukiamua kushika silaha kupingana na huu uonevu bado tungekuita GAIDI?ukifa tushangilie?
Kama wanazingua ni kuwagonga
 
nakubaliana nawe kwa upande flan..ila binafsi siwezi waita wapalestina magaidi (ingawa kuna vitu vingi sikubaliani nao) rather wapigania uhuru/haki zao
Hivi hawa jamaa tangu enzi za Goliath na David (Wafilisti na Wayahudi) bado ni kutwangana tuuu. KWANINI wasifike mahala wakakaa meza moja, wazungumze yaishe!!? Hivi wataenda mbingu gani jamani?
 
mbona wanyamulenge walifukuzwa congo,na wamekaa mababu na mababu,lakini kabila aliwambia wao ni wanyarwanda sio wakongo..
ingekuwa wewe babu zako wamefurushwa kwenye ardhi waliyoishi zaidi ya vizazi kumi (babu wa babu wa babu wa babu wa babu wa babu wa babu.....) kisha vuuup bin vuuu mwaka 1948 unaambiwa hapa hii ardhi kihistoria tulipewa na Mungu wetu nyie na mababu zenu mlikuwa mnakaa hapa kimakosa (kwa wale wenzetu labda wangesema nyinyi ni makafir)...kisha wewe na familia yako (baba, mama, babu, bibi, dadazo, kakazo nk) mnaenda mnaweka kwenye gereza la wazi (Gaza- anga na ardhi na bahari vyote vinamilikiwa na Israel)...ukiamua kushika silaha kupingana na huu uonevu bado tungekuita GAIDI?ukifa tushangilie?
 
mbona wanyamulenge walifukuzwa congo,na wamekaa mababu na mababu,lakini kabila aliwambia wao ni wanyarwanda sio wakongo..
Nadhani wewe unaongelea wahamiaji wa juzi juzi tu wasiozidi miaka mia (hawa banyamulenge walihamia Congo kuanzia miaka ya 1930's kwahivyo historia yao iko fresh bado miongoni mwa wenyeji waliowakuta). Wapalestina wako kwenye hiyo ardhi kwa maelfu ya miaka. Embu soma kidogo historia ya kina Saladin na dola kuu za Umayyads.
 
nadhani wewe unaongelea wahamiaji wa juzi juzi tu wasiozidi miaka mia (hawa banyamulenge walihamia Congo kuanzia miaka ya 1930's kwahivyo historia yao iko fresh bado miongoni mwa wenyeji waliowakuta)..wapalestina wako kwenye hiyo ardhi kwa maelfu ya miaka..embu soma kidogo historia ya kina Saladin na dola kuu za Umayyads
Mkuu mimi nasoma historia ya Biblia tu, ndiyo ya kweli na uhakika.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom