Recent content by originalsuccessor

  1. O

    JamiiForums Tanzania Ninawashangaa sana wasichana wenye tabia hii

    Buhahahahahaha nimeipenda hii
  2. O

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni leo Tarehe 19 may kikao cha 12 Bunge la bajeti

    Habari wana ndugu! Kati ya vitu vinavonitatiza sana ktk sekta ya elimu ni pamoja na hii suggestion kuwa lugha sahihi ya kufundishia wanafunzi kwanzia primary ni kiswahili. Hebu tujadiliane wana ndugu maana naona kama navurugwa hapa
  3. O

    JamiiForums Tanzania Tetesi:Mgomo unanukia udsm.

    Kwa ushauri wako wewe ni njia gani zingine zinafaa??
  4. O

    JamiiForums Tanzania Tetesi:Mgomo unanukia udsm.

    Uoga wako ndio umasikini wako....binadamu ni kiumbe kinachoweza kuishi kwa matumaini kwa muda mrefu sana ila aonapo mbele giza basi huwa mkatili....katika maisha ukiwa muoga kila cku hutakaa kuthubutu kitu
  5. O

    JamiiForums Tanzania Tetesi:Mgomo unanukia udsm.

    Ni kweli unachosema mkuu....watu wanashindwa kuelewa kua cku zote ktk kupigania haki lazima kuwe na gharama ili hiyo haki ipatikane....tunasahau hta kua hta yesu ilibdi ateseke na afe ili atambuliwe kua ni mfalme wa wayahudi...hizi kauli za kebehi hazifai kabisa kwasababu hali waliyonayo...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi

    Salama wanandugu...me member mpya..pamoja tushirikiane ktk jukwaa mbalimbali za JF. Be blessed.
  7. O

    JamiiForums Tanzania You Entrepreners, Ni kwa nini Wagiriki walikuwa wakichoma Meli zao Moto? Vipi wewe waweza Choma?

    Dooohh nimejifunza kitu kizuri sana...shukran mkuu
  8. O

    JamiiForums Tanzania Ushoga: Wamiliki wa Facebook na Instagram waifungia Uganda!

    Those are some of the sacrifices for ethical proceedings
  9. O

    JamiiForums Tanzania Obama ampiga rais Mseven mkwara mzito

    Mwenzako akinyolewa zako tia maji cc kikwete
  10. O

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Umesema vyema
  11. O

    JamiiForums Tanzania Shamba zuri linauzwa.

    Sawa mkuu umeeleweka
  12. O

    JamiiForums Tanzania Shamba zuri linauzwa.

    Hiyo ardhi nzuri sana ila nashindwa kuelewa kwanini unaiuza ilihali mabufaa yake yako kedekede?
  13. O

    JamiiForums Tanzania Tengeneza pesa kupitia intaneti

    Maisha sio mteremko hivo bwana mdogo.
Back
Top Bottom