Ninawashangaa sana wasichana wenye tabia hii

Ninawashangaa sana wasichana wenye tabia hii

Kaa nayo ikuozeee...
Hivi inakuwaje msichana unaamua kumpa mwili wako kaka ambaye hajakuoa au hamko kwenye ndoa!! Hivi huu ujasiri munautoa wapi? Khaa!! mimi hili linanishangaza kwa kweli na kila nikijiuliza huwa sipati jibu ni kwanini huwa mnafanya hivi. wasichana na wanawake mubadilike jamani hii sio tabia kabisa! Hongera kwa wasichana wote waliojitunza mpaka kuolewa na wale ambawo wanaendeleya kujitunza.
 
Karibu dunia ya leo!! Ndoa za siku hizi eti mtu akiwa na kibamia tu au ya punda eti ndoa inakufa! Ndio mana wenzio wanashake b4 use! Ili wawe balanced!! Mweeh napitaaa!!

Tena sio shake tu, shake well b4 use.Yalomkuta rafiki yangu anataka ndoa ivunjwe.Hawakutaka kushake dawa si imekutwa haijachichanganya vizuri particles zimesimama.
 
Kwann wakaka nao tunaonyesha wadada miili yetu wakati hatujawaowa?
 
Na utashangaaa saaana huku wenzio tukishikilia madushe kama filimbi za sungusungu

endelea kulishika vizuri. na usipo fata ushauri wa mleta mada. utayashika na kuyanyonya mpaka uzeeke. ukidhani utapewa tuzo ya kunyonya madushelele ya wanaume.
 
Hivi kuna watu wanaolewa wakiwa mabikra bado kizazi hiki? wanatandikiwa na zile shuka nyeupe usiku wa ndoa halafu asubuhi shangazi anaitwa kushuhudia jinsi binti yake alivyojitunza eeeh? kugegedana kabla ya ndoa hakumaanishi mwanamke/mwanaume ni malaya ni nyege tu na hitaji la mwili wa binadamu kama yalivyo mahitaji mengine!!!!!!!
:smile-big::smile-big::smile-big:
 
endelea kulishika vizuri. na usipo fata ushauri wa mleta mada. utayashika na kuyanyonya mpaka uzeeke. ukidhani utapewa tuzo ya kunyonya madushelele ya wanaume.
as long sio sumu nitayashikilia mpaka mwishoooo, uzee haujalishi lol
 
Huyu naye,kwani haujui kuwa dushelele zetu ni dawa kwao.Na asipopata anapata tabu kweli,na papuchi itamsumbua sn!!
 
hapo umefeli ww yan ww mwenyewe umeyajua mapenz tangu darasa la tatu mbona umeshndwa kujitunza kama unaliona jambo rahisi..
 
Hivi inakuwaje msichana unaamua kumpa mwili wako kaka ambaye hajakuoa au hamko kwenye ndoa!! Hivi huu ujasiri munautoa wapi? Khaa!! mimi hili linanishangaza kwa kweli na kila nikijiuliza huwa sipati jibu ni kwanini huwa mnafanya hivi. wasichana na wanawake mubadilike jamani hii sio tabia kabisa! Hongera kwa wasichana wote waliojitunza mpaka kuolewa na wale ambawo wanaendeleya kujitunza.
Unayoyasema kama kweli hutanii naona ni ndoto za alinacha. Tusubirie hapahapa walahi kuna siku utakuja na stori ya Nimegegedwa bila kujitambua..naombeni ushauri.
 
Back
Top Bottom