Obama ampiga rais Mseven mkwara mzito

Obama ampiga rais Mseven mkwara mzito

Nimesoma write up ya Mseven kwenye the citizen la jana, ameelezea process aliyopitia katika kufikia maamuzi ya kusign ile bill.

I wish nisikie wamarekani na waingereza wana hoja gani dhidi ya thinking yake.

wazungu wanakurupuka, wanataka kile wanachofikiria kitokee
 
Unaweza ukaleta source nyingine?

Marekani kuna states 51, na states zilizoruhusu ndoa ya jinsia moja hazifiki nne, manake majority ya states za marekani zinapinga na haziruhusu ndoa ya jinsia moja, hivyo Obama hawezi kulazimisha nchi za africa kuruhusu ndoa za jinsia moja.

Kama uliangali Kikwete alivyokuwa anahojiwa na Amanpour wa CNN, utagundua kwamba wanachopinga wakina Obama ni kuuawa na unyanyasaji wa mashoga. Ndio maana JK akasema kwamba tanzania hakuna shoga aliyeuawa na kunyanyaswa, na yeye pia alikataa ndoa za jinsia moja na hakuwa na tatizo na Obama au watu wa haki za binadamu.

Obama na watu wa haki za binadamu hawalazimishi ndoa za jinsia moja, wanapinga unyanyasaji tu.

World leaders discuss African poaching - YouTube

We usidanganye watu hapa!
Ndoa ya jinsia moja ni HALALI America yote!

Na hio imo ndani ya one of the constitutions za Us federal government!

Hakuna state hata moja ambayo NO MARUFUKU KUOANA WATU WA JINSIA MOJA!

Kilicho tofauti ni kuwa baadhi ya majimbo hawafungishi hizo ndoa kwa Registrar office! Lkn kama ukienda kanisani Hakuna wa kukukataza!

Na watu wanaoana kila siku kona zote za U.S.
 
Shahtaan umerudi kazini.
Kwenye red unajichanganya, labda ni kwa sababu mola wako iblis anakuchanganya, kitendo cha kutofungishwa hizo ndoa katika majimbo yaliyo mengi, ni kwa sababu serikali za majimbo hayo haziruhusu ndoa za jinsia moja. majimbo takriban manne ndio yanaruhusu.

Kwenye green hakuna kanisa linalofuata mafundisho ya Yesu Kristo ambalo linaruhusu ndoa hizo.
Isipokuwa hawa hapa chini wanaruhusu:

Ibn Abbas narrates that Hadhrath Umar went before Rasulullah (s) and "Master I am destroyed!'. Rasulullah (s) asked 'what thing has destroyed you?'. Umar replied last night I had anal sex.
 
We kuniita mimi shetani hakuzui hawa watumishi wa yesu kuoana!

Hebu watizame hawa jamaa hapa chini halafu walinganishe na yule mungu wako kwenye ile picha uone kama sio brothers from another mother!

Hawa woote wanafanana na mungu wako kuliko wewe mswahili mwenzangu!

Halafu leo hii unataka kujifanya wewe ni mkristo bora!?

Yesu hapendi uwakashifu wadogo zake namna hii!
Utapata laana!
 
Attachments

  • 1393655901970.jpg
    1393655901970.jpg
    37.7 KB · Views: 83
We kuniita mimi shetani hakuzui hawa watumishi wa yesu kuoana!

Hebu watizame hawa jamaa hapa chini halafu walinganishe na yule mungu wako kwenye ile picha uone kama sio brothers from another mother!

Hawa woote wanafanana na mungu wako kuliko wewe mswahili mwenzangu!

Halafu leo hii unataka kujifanya wewe ni mkristo bora!?

Yesu hapendi uwakashifu wadogo zake namna hii!
Utapata laana!
Shahtaan mpinga Kristo huna cha kunieleza wewe ni mweupe sana kichwani, huelewi hata unapost kitugani.
Endelea kumtukuza mola wako iblis, usichoke kufanya kazi yake.
 
Kwani ukijadili kwa kutoa points kama mimi utaathirika nini!?

Kuanza kutoa matusi na kashfa ni kuufahamisha ummah kuwa wewe ni mtupu ki fikra!

Mimi na YESU wa kweli Lengo letu na imani yetu ni MOJA TU!
Nayo ni KUMUABUDU MUNGU MMOJA!

Kama alivyosema Yesu mwenyewe ktk Andiko kuwa.

Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye.
Yohana 17.3-4

Na.mimi namtukuza huyo huyo MUNGU ALIYETUKUZWA NA YESU.

Wewe na wagalatia wenzako badala ya Kumtukuza MUNGU!
Nyie mnamtukuza MZUNGU!

Sasa kati yetu mimi na Yesu na nyie wagalatia nani SHETANI!??
 
Shahtaan umerudi kazini.
Kwenye red unajichanganya, labda ni kwa sababu mola wako iblis anakuchanganya, kitendo cha kutofungishwa hizo ndoa katika majimbo yaliyo mengi, ni kwa sababu serikali za majimbo hayo haziruhusu ndoa za jinsia moja. majimbo takriban manne ndio yanaruhusu.

Kwenye green hakuna kanisa linalofuata mafundisho ya Yesu Kristo ambalo linaruhusu ndoa hizo.
Isipokuwa hawa hapa chini wanaruhusu:

Ibn Abbas narrates that Hadhrath Umar went before Rasulullah (s) and "Master I am destroyed!'. Rasulullah (s) asked 'what thing has destroyed you?'. Umar replied last night I had anal sex.
Almighty Allah says in the Qur'an: "Your wives are a tilth for you, so go to your tilth (have sexual relations with your wives in any manner as long as it is in the vagina and not in the anus), when or how you will, and send (good deeds, or ask Allah to bestow upon you pious offspring) for your own selves beforehand. And fear Allah, and know that you are to meet Him (in the Hereafter), and give good tidings to the believers (O Muhammad)." (Al-Baqarah: 223)

Afu we kijana wacha kupoteza wajinga wenzako hio story ya Umar(Omar) si ya kweli kabisa alicho sema ni hichi hapa.

However, it is allowed to caress the wife and stimulate her around the anus, without having sex in this area. It is reported that `Umar Ibn Al-Khattab (ay Allah be pleased with him) came one day to the Prophet and said, "O Messenger of Allah, I am ruined!" "What has ruined you?" asked the Prophet. He replied, "Last night I turned my wife over," meaning that he had had vaginal intercourse with her from the back. The Prophet (peace and blessings be upon him) did not say anything to him until the verse cited above was revealed. Then he told him, "[Make love with your wife] from the front or the back, but avoid the anus and intercourse during menstruation." (Reported by Ahmad and At-Tirmidhi)
 
angalau hata wewe unajua, shahtaan(kahtaan) ni mweupe mno, hawezi ku-defend hoja zake, nilijua hawezi kuona hapo, na kweli hakuona na kufafanua badala yake ameweka mapicha ya wazungu wananyonyana.

Mpe darsa na mwenzako.
 
Shahtaan umerudi kazini.
Kwenye red unajichanganya, labda ni kwa sababu mola wako iblis anakuchanganya, kitendo cha kutofungishwa hizo ndoa katika majimbo yaliyo mengi, ni kwa sababu serikali za majimbo hayo haziruhusu ndoa za jinsia moja. majimbo takriban manne ndio yanaruhusu.

Kwenye green hakuna kanisa linalofuata mafundisho ya Yesu Kristo ambalo linaruhusu ndoa hizo.
Isipokuwa hawa hapa chini wanaruhusu:

Ha ha ha ha haaa si mchezo
 
Kwani ukijadili kwa kutoa points kama mimi utaathirika nini!?

Kuanza kutoa matusi na kashfa ni kuufahamisha ummah kuwa wewe ni mtupu ki fikra!

Mimi na YESU wa kweli Lengo letu na imani yetu ni MOJA TU!
Nayo ni KUMUABUDU MUNGU MMOJA!

Kama alivyosema Yesu mwenyewe ktk Andiko kuwa.

Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye.
Yohana 17.3-4

Na.mimi namtukuza huyo huyo MUNGU ALIYETUKUZWA NA YESU.

Wewe na wagalatia wenzako badala ya Kumtukuza MUNGU!
Nyie mnamtukuza MZUNGU!

Sasa kati yetu mimi na Yesu na nyie wagalatia nani SHETANI!??

Shahtaan, wewe endelea kufanya kazi yako uliyotumwa na iblis, nipo busy nafanya mambo muhimu, endelea kutuma post zako nitakujibu nitakapopata muda wa kuchezea.
 
angalau hata wewe unajua, shahtaan(kahtaan) ni mweupe mno, hawezi ku-defend hoja zake, nilijua hawezi kuona hapo, na kweli hakuona na kufafanua badala yake ameweka mapicha ya wazungu wananyonyana.

Mpe darsa na mwenzako.
Nimeisha fahamu ni sababu gani unamchukia Sheikh Kahtaan, ni yale yale ya shetani kumchukia Adam.

Niweke na mimi kwenye list mana napenda sana shetani akinichukia, si unajua kila shetani aki-kuchukia ujuwe ndio Mungu anazidi kukupenda.
 
kama unataka kuchukiwa na shetani mwambie kahtaan aka shahtaan akuchukie.
 
Mtakubali tuu Kama makaburu walivyo salimu amri,hao ------- wengine ni kaka na dada zenu na sio Siri ------- walikuwepo wapo na wataendelea kuwepo tuu,sijui shida yenu nini muwafunge na kuwanyanyasa ?na kila mtu Ana dini yake so pls msilazimishe Imani zenu kwa wengine and URT is not theocracy or any imam state iis a republic ,na mlivyo na njaa na ujinga gays lazima wapate equal rights like everybody

Kwa mtindo huu nadhani hata majambazi sasa na yenyewe yatadai haki zao za msingi kutambuliwa .......hivi waafrika tujiulize wazungu wanawezakubali tukiwapelekea mila na desturi zetu za unyago kwa misingi ya hakiza binadamu?...
 
in privacy?? ingekuwa ni privacy wewe na mimi tungeyajua??

Acheni kutetea uliberali nyie,

Hawa ndio husababisha na sisi tusio husika kupigwa radi au kupata ajali za ajabu!

Haki ya mama mi ningekuwa kiongozi NANYONGA WOTE HAWA WANAO HUSUDU MAKALIO YA MWANAMME MWENZAO!

Laanatullah
!

Ivi maswala ya radi na ajali yanaingiaje hapa?

Pili watu wakitamaniana wao kwa wao wewe inakuhusu nini?
 
Kauli yako hii inamaanisha kuwa watu watakacho kifanya hata kama kitaathiri jamii na kubomoa maadili.
Na kwa sababu hayakuhusu wewe Kwako wewe ni SAWA TU!

Huo tunauita ni UBINAFSI na ni Ubaya uliopita kiasi!

We mpaka mwanao au mdogo wako akigeuzwa mliberali ndipo utakapoona kuwa ilikuwepo haja ya kukemea toka zamani?

Huu uchafu mnao utetea ndio unaosababisha MARADHI YASIO TIBIKA na kuwaponza mpaka wanyonge wasio husika.

Mtu badala ya kuupata huo ukimwi kwenye zinaa na mambo ya ngono.
Anaenda upata kwa daktari wa meno na wale madaktari wa kawaida!

Wacha kutetea UCHAFU wa kulawitiana! Hata kama UNAUPENDA!

UTALAANIKA KABLA HIJAFA!
 
Sasa uchaguzi wa jinsi mtu mzima anavyopenda kuendesha maisha yake inakuathiri vipi?

Na laana ndio kitu gani sasa? Rafiki yangu kuna mambo ya muhimu na ya maana zaidi kufuatilia na kushughulikia katika maisha haya ya shida kuliko kuangalia na kufuatilia nani anaishi vipi, na nani na kwa nini.

Hivi saratani, kisukari, n.k. (mfano wa magonjwa) yasiyotibika chanzo ni "homosexuality"? Panua uwezo wako wa kufikiri na kujenga hoja ndugu.
 
Back
Top Bottom