tayari,kiza cha magharibi kimejiri,
taratibu watu chini ya madari kujisitiri,
hofu inakaza kiburi,
kila wingu la jicho linaposawiri,
mafukara wana furaha na afadhali,
nitafika asubuhi? ndio swali la matajiri.....
big up sana mwanafalsafa,aka MP(Member of Parliament)