Naomba kufahamu Kiwanda cha mifuko rejea

Naomba kufahamu Kiwanda cha mifuko rejea

Kuna jamaa alileta uzi humu anauza hiyo mifuko kwa bei ya 900
 
Habari za muda huu wakuu...naomba kufahamu kiwanda au mahali nitakapo pata mifuko hii ikiwa kiwandani kilipoa jumla nahitaji mingi sana ikiwekana nifamu na bei zakeView attachment 3431811View attachment 3431812View attachment 3431813
Hii itakugharimu kama ikiamshiwa popo.Vinginevyo tafuta viwanda vilivyoruhusiwa kuzalisha kwa walaji waliosajiliwa pia.Kama na wewe una kiwanda au agent hakikisha kiwanda kinachotengeneza kinatambulika na hata mlaji anatambulika (label) hasa unaenda kufanyia matumizi gani.Asante
 
Back
Top Bottom