Mwana FA, Fan(s) nii wimbo wake upi unaukumbali?

Mwana FA, Fan(s) nii wimbo wake upi unaukumbali?

Wimbo kama mfalme naukubali sana sana yupo na g nako
 
Ninachomkubali akiamua kujisifia anajisifia hadi balaa wimbo kama 'binamu' na 'msiache kuongea', (inspekta H toka alivyojibiwa kimya hadi leo) Na akiamua kuponda ndo usiseme kama 'ungeniambia', 'bado nipo nipo'
Tafuta wimbo wa 'demu wangu wa kwanza' kama haujawahi kusikiliza jamaa alivyolalamika hm
Weka mistari mkuu nimejaribu kusachi Lyrica zake hazipo
 
Dume suruali dume kaptura
Shauri zako ilimradi sipati hasara
Usione utani mimi siongei hata kwa ishara
Utaniambia nini mpaka unigeuze falaKwanza naskia hongo zinaleta mkosi
Senti tano yangu hugusi hata ukiongea kidosi
Yabaki mapenzi tusileteani ujambazi

Haki japo alituchamba ila aliupanga sana huu wimbo
 
Mnapenda kuwa powerfull //
Mnapenda kuwa nyinyi juu//
Mnatamani redioni zisikike sauti zenu tuu//
Mnatamani dunia igeuke nyi ndo muwe jungu kuu//
Mnaona dunia ni yenu sisi tupo mradi tuu//
-- Msiache kuongea
 
Dume suruali dume kaptura
Shauri zako ilimradi sipati hasara
Usione utani mimi siongei hata kwa ishara
Utaniambia nini mpaka unigeuze falaKwanza naskia hongo zinaleta mkosi
Senti tano yangu hugusi hata ukiongea kidosi
Yabaki mapenzi tusileteani ujambazi

Haki japo alituchamba ila aliupanga sana huu wimbo

Ndo mnavyosema na
Ukiniomba kesho hunisikii tena
Kwani unauza nini dada hunitakii mema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom