Jifunze kitu kuhusiana na biashara ya bodaboda

mzizi1

JF-Expert Member
Oct 9, 2017
255
692
Habari zenu wakuu, tukiwa tunaelekea mwishoni mwa mwaka nahitaji niwatie moyo kwa hili, pengine waeza pata pa kuanzia kwa mwaka Ujao.

Mi ni kijana mzawa wa kanda ya ziwa mwenye roho ya kichaga miaka ni 25 tu na kwa sasa najitafuta huku mji kasoro.

Mnamo mwezi wa pili mwaka 2022, nilifumania dili la pesa kiasi chake kama 4.8M na nikaamua kujitosa kwenye biashara ya ndoto zangu (usafiri), nikanunua bajaji mkononi mwa mtu kwa 3.7M ukarabati ilikua laki sita nilihakikisha inarudi kuwa mpya kabisa. Nikampatia kijana awe anaiendesha(huko kanda ya ziwa) kwa mkataba na marejesho ya 20k kwa siku.

Marejesho yalikuwa yanatumwa NMB bank direct, kijana huyu alifanikisha kurejesha pesa kwa siku 15 pekee mfululizo baada ya hapo zikaanza danadana nikavunja mkataba nikamkabidhi mtu mwingine kwa makubaliano ya 15k kwa siku, huyu nae alimudu mwezi wa kwanza pekee baada ya hapo danadana na point kubwa ikiwa biashara ni ngumu.

Nikaona ni upumbavu huu nilifikiria Majuto yake ni makubwa sana endapo ningezidi kupoteza kila siku ukizingatia sikua na kazi ya kueleweka na pesa niloipata ilikuwa kuba sana tangu kuzaliwa kwangu. Nikapata wazo la kuhamia kwenye bodaboda maana hata bei ya bajaji mpya unapata bodaboda tatu mpya.

Nilikusudia kutokufeli katika hili maana sikutaka kujaribu. Niliamua kuzama mfukoni nikamtafuta mwanasheria akaniandalia mkataba wa KAZI ya bodaboda, nikakata bima na piah nilikua na GPS, mnamo mwezi wa sita nikaanza na boda ya kwanza marejesho yakawa sawa mwezi mzima, nikapata shauku ya kuongeza nyingine mwezi wa nane ikaleta mafanikio mazuri, ya tatu niliiongeza mwezi wa kumi, na ya nne imeanza mwezi wa 12.

Biashara kwa sasa ipo sawa na siri kubwa ya hii biashara ni KUJIZIMA DATA, kwa maana ya kwamba usiwahi elewa kauli ya "biashara ni ngumu" hata siku moja , mkataba wako uheshimiwe kila siku usiwahi kuzembea hata siku moja kuna ile namna wewe Bosi ukizembea katika usimamizi hakika hakuna rangi utaacha ona, kwa sababu ya mkataba wangu wa bodaboda ambao sio ile ya stationary. Kumlaza boda police limekua jambo la kawaida sana. Akilala police anaenda na boda yake, ndugu zake watakuja kulipa fine na malimbikizo yangu then tunaachana. Boda wangu wamekua watiifu sana na mkataba si wa kuwabana ni miezi 14 pekee, na mpaka sasa kuna ambao tushakubaliana namna bora ya wao kurejesha pesa zao.

Usisahau kitu hiki, hakikisha unarekodi mahesabu yako kila siku hata kama pesa yote unaitumia, itakusaidia sana kujua unachoingiza na kutoa.

Kwa sasa nipo morogoro na biashara ipo kanda ya ziwa mzee wangu anaisimamia vyema na pesa zote zinarejeshwa bank kwa kufuata utaratibu wa mkataba.

Nimeona nishare hili pengine yaweza kuongezea kitu. Hapa chini ni hesabu za mwezi huu kwa pikipiki nne.

Screenshot_20221229-204417_Sheets.jpg
Screenshot_20221229-204429_Sheets.jpg
 
Kuna jamaa yangu bajaji yake iliibiwa...dereva akasema alikuwa amepaki ndani ya fensi ameamka asubuhi bajaji haipo...hakukuwa na jinsi Zaidi ya kupelekana mahakamani
 
View attachment 2462608View attachment 2462609
Mkuu naomba namba zako tubadilishane mawazo ila umeongea points
 
Kwa Siku bodaboda moja alikuletea shilingi ngapi?
 
Nimejifunza kitu mkuu, vipi bado hii biashara unaendelea nayo?
 
Back
Top Bottom