Recent content by Omumura

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

    Mzee keya jamani,nimemkumbuka sana mpishi hodari.
  2. O

    JamiiForums Tanzania What Has Gone Wrong in Catholic Seminaries?

    Nenda ukavae baraghashia Yako madrasah.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Muungano: Maalim Seif aipa tume ya jaji Warioba masharti

    Maalim seif ni kirusi hatari sana kilichojaa nyongo ya unafiki ndani yake!wazanzibar wajiulize what next baada ya Maalim seif kushinikiza muungano uvunjike?wajinga ndo waliwao na madevu yao,kwanza ni bora kubeba gunia la misumari kuliko kuendelea kuwakumbatia hao wasiokuwa na shukrani akina yakhe!
  4. O

    JamiiForums Tanzania Kashifa ya ngono yalitafuna bunge letu....wabunge wadaiwa kubebana na kupeana mimba

    Seru vs......toto ya kigogo ccm.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kama namuona mbuyu twite...

    Mzuka wa kupigwa mkono hauwezi kuisha kirahisi vilee!
  6. O

    JamiiForums Tanzania Ajali imetokea muda huu Ubena, ni MJ ya Dar- Kondoa

    Ee Mola tunusuru!
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mzee Farijala ni nani hasa?

    Huyo mzee ni mpumbavu fulani hivi anaganga njaa,mstaafu anayeishi kwa propaganda za magamba.
  8. O

    JamiiForums Tanzania maralia inaniua wana jf

    Kula mbegu za papai,mara tatu kwa siku.
  9. O

    JamiiForums Tanzania chiku galawa,uadilifu wako upo wapi?

    Umezuia mkopo halali wa watumishi wa ofisi yako eti nawe ni mtumishi kumbe sio matokeo yake umekuja hapa hazina na kututolea maneno machafu,sio halali huo mkopo kwako,waache watumishi wakope:unamweka diwani ndani wakati wewe mwenyewe umejinyakulia mashamba na umekata misitu zaidi ya huyo...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Lema ni kesho ndani ya jiji la Arusha kuanzia KIA

    Watake wasitake tutampokea kamanda wa ukweli Lema.
  11. O

    JamiiForums Tanzania Karume atengwa, picha zake zachanwa Z’bar

    Huyo ndo karume a.k.a Mtoto wa diria,mwana uamsho mkubwa asiye na chembe hata ya shukrani kwa muungano uliombeba,atakula jeuri yake sasa.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa JK, Mangula na Membe ni Pigo takatifu kwa Lowassa

    Waacheni wafu wazikane jamani.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Mjumbe CCM ajivua uanachama

    Vua gamba,vaa gwanda!
  14. O

    JamiiForums Tanzania Dar: Barabara mitaa ya Posta zafungwa kwa muda, watu wametaharuki

    Yalaaaa!nchi yangu Tanzania.
Back
Top Bottom