chiku galawa,uadilifu wako upo wapi?

chiku galawa,uadilifu wako upo wapi?

Omumura

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2009
Posts
476
Reaction score
18
Umezuia mkopo halali wa watumishi wa ofisi yako eti nawe ni mtumishi kumbe sio matokeo yake umekuja hapa hazina na kututolea maneno machafu,sio halali huo mkopo kwako,waache watumishi wakope:unamweka diwani ndani wakati wewe mwenyewe umejinyakulia mashamba na umekata misitu zaidi ya huyo diwani,data zaidi zitafuata.
 
Mbona imekaa kiudaku udaku..!!??? jipange mkuu
 
Pole pole punguza jazba ....Haya anza tangu mwanzo
 
Umezuia mkopo halali wa watumishi wa ofisi yako eti nawe ni mtumishi kumbe sio matokeo yake umekuja hapa hazina na kututolea maneno machafu,sio halali huo mkopo kwako,waache watumishi wakope:unamweka diwani ndani wakati wewe mwenyewe umejinyakulia mashamba na umekata misitu zaidi ya huyo diwani,data zaidi zitafuata.

Mkuu usimung'unye maneno hebu shusha hizo data tuziweke kwenye darubini!
 
Back
Top Bottom