Kama namuona mbuyu twite...

Kama namuona mbuyu twite...

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Nikikumbuka mechi ijayo ya Simba na Yanga,kama namuona Mbuyu Twite akishangilia goli la tatu dakika ya 39 kipindi cha kwanza.
....Kama namuona rage akiondoka uwanjani mapema dakika za mwanzoni kipindi cha 2.

.....Kama namuona julio akipewa kadi nyekundu kwa kwa kuingia uwanjani kuzua pasi ya niyonzima isimfikie kavumbago akafunge goli la tano
....Kama nawaona mashabiki wasimba wakgombania mlango wa kutoka kabla ya mechi haijaisha,eti hawataki kuliona kombe la mabingwa.
....Kama najiona Nipo SIMBA KAPAKATWA PUB nikisherekea ubingwa kwa kula laga za kutosha tu.
....Ongeza ya kwako ukianzia neno KAMA
 
Kama namuona mwenyekiti wa simba akifikilia jinsi ya kudanganya,baada ya kufungwa.(wataalamu wa kujenga uwanja wetu wako njiani wanakuja!)
 
Kama namuona Kaseja akiokoa penati iliyotolewa kiutata na Oden Mbaga huku display kwenye TV ikisoma Simba 2-1 Yanga, dakika 89:50.
 
Nikikumbuka mechi ijayo ya Simba na Yanga,kama namuona Mbuyu Twite akishangilia goli la tatu dakika ya 39 kipindi cha kwanza.
....Kama namuona rage akiondoka uwanjani mapema dakika za mwanzoni kipindi cha 2.

.....Kama namuona julio akipewa kadi nyekundu kwa kwa kuingia uwanjani kuzua pasi ya niyonzima isimfikie kavumbago akafunge goli la tano
....Kama nawaona mashabiki wasimba wakgombania mlango wa kutoka kabla ya mechi haijaisha,eti hawataki kuliona kombe la mabingwa.
....Kama najiona Nipo SIMBA KAPAKATWA PUB nikisherekea ubingwa kwa kula laga za kutosha tu.
....Ongeza ya kwako ukianzia neno KAMA
kama nawaona yeboyebo wakinyanyua kikombe chao cha chai kwamajonzii! Hii nibaada ya kubanjuliwa na mwandazimu mwenzao AKA mama libolo.
 
Kama namuona ngassa akiwa jukwaani akitabasamu baada ya kumuona mshikaji wake Jerry Tegete akipiga goli la 4!
 
Kama namuona Kaseja akiokoa penati iliyotolewa kiutata na Oden Mbaga huku display kwenye TV ikisoma Simba 2-1 Ya nga, dakika 89:50.

Nitachekaa! ikibidi nitarudi uchii mpaka nyumbani. Lakini siku hiyo uwanjani atakua simba gani jike, Dume, hau Mtoto?
 
Ntakuja kivingine!

Poa mpe hi wabhejasana mwambie asisahau kuja na kapu lakuwekea magoli maana muhanga wa libolo siunamjua mwenyewe hata akiwa hoi bin taaban lakini akisikia ana cheza na yeboyebo tu basi na yeye dushelele ina simama.
 
kama ninaona wazee wa yanga wakigombana wenyewe kwa wenyewe juu ya kukaa kwenye vyombo vya habari na kuwashitua simba waliyolala na kulabwa goli 4 bila (simba 4 yanga 0)
 
Na bado, mtaweweseka sana na zile Pawasa (goli tano)....hamlali wala hamnywi kwa kile kishindo.....na bado tutakupigeni miguu ya kuku jumamosi!
 
Okwi kaondoka nsajigwa atacheza?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Na bado, mtaweweseka sana na zile Pawasa (goli tano)....hamlali wala hamnywi kwa kile kishindo.....na bado tutakupigeni miguu ya kuku jumamosi!
kama nakuona uki-log off kwa hasira na kuzima komputa kabisaa baada ya dakika tisini kwisha
 
Njozi za mchana sio mbaya hasa kama unataka kupunguza stress baada ya kazi ngumu
 
Back
Top Bottom