Hali ya dunia kwasasa imekumbwa na machafuko kila Kona haswa vita,migogoro na machafuko mengine ya kisiasa,,,Mwenye jukumu la kusimamia amani ya dunia ni Umoja wa Mataifa ndicho chombo kilichopewa dhamana toka uanzishwaji wake 1945...Lakini je Amani ya dunia ambayo ni wazi ipo matatani...
Chanjo ndani ya mwaka mmoja jiulizeni tafiti ilichukua mda gani? Mpaka uhakika wa chanjo hiyo,,,,,Maisha ya watu hayawekwi rehani kiasi hicho tafadhal.
Yalifaa kusemwa toka ujana maana hayajaanza leo [emoji753]
Shetani akizeeka anakuwa Malaika Kuna siku Maela na Kaijage watasema hivi na tutawashangilia[emoji86]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.